Naomba kufahamu bei ya Rav4 J mpya

Naomba kufahamu bei ya Rav4 J mpya

Kuna tofauti kati ya show room na yard
Bei ya showroom ni fixed Ila bei ya gari yoyote yard inategemea na hali yake ama ishatumiwa kiasi gani, kweli zipo za millioni 11 hadi 12 kama ulivyosema. Jamaa yangu alichukua kwa millioni 32 but ukiiangalia engine, body, drive train, tyres, mgurumo wa engine, everything as good as brand new! na odo meter 68,000km.

Vipi bei ya harrier mkuu
 
Na harrier vipi mkuu. Maana bado nafanya comparison

Kumbe wataka used. Wenzako wametoa hizo bei za mpyaaa uliyoonesha kuitaka. Wamesema bei ni 75-85 milioni.
 
Kumbe wataka used. Wenzako wametoa hizo bei za mpyaaa uliyoonesha kuitaka. Wamesema bei ni 75-85 milioni.

Hiyo wanayoongelea sio nayoitaka mkuu. Thred yangu inazungumzia rav 4. Pia haijalishi kama ni used au mpya, ilimradi iwe katika hali nzuri. Kama unaijua bei ya harrier mpya nambie mkuu
 
Hiyo wanayoongelea sio nayoitaka mkuu. Thred yangu inazungumzia rav 4. Pia haijalishi kama ni used au mpya, ilimradi iwe katika hali nzuri. Kama unaijua bei ya harrier mpya nambie mkuu
Harrier used toka Japan bei yake ipo sawa na au kuzidi kidogo bei ya RAV4. Tofauti ya bei haiwezi kuzidi milioni tatu na nusu max...
 
Back
Top Bottom