Naomba kufahamu anayeuza Sulphur powder

Naomba kufahamu anayeuza Sulphur powder

Yes.. Utapata pia.. Niliwahi nunua miaka mingi kidogo kwa ajili ya ugonjwa wa ngozi nikachanganya na Whitefield

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ugonjwa unafanana fanana na huu:-
 
nenda ofisi za mkemia mkuu wa serikali atakupa konekisheni wapi utapata.
 
Back
Top Bottom