Naomba kufahamishwa Cloud Storage ya bure at least 30 GB

Naomba kufahamishwa Cloud Storage ya bure at least 30 GB

Cloud storage ni mfumo wa kuhifadhi mafile kupitia internet. Kunakuwa na computer zenye storage za kutosha, kupitia internet unahifadhi mafile yako kwenye hizo computer.

Kuelewa zaidi hata wewe unaweza ukanunua Nas server, ukawa na app mahala popote ukawa unahifadhi mafile yako kwenye server yako Nyumbani.

SYNOLOGY_DS1019P_01.jpg
mkuu hiyo inauzwaje na inafanyaje kazi
 
mkuu hiyo inauzwaje na inafanyaje kazi
Kwa Reputable company Nas server zinaanzia laki 2 hivi mpaka mamilioni inategemea unaingiza HDD ngapi, na slot zinakuwa empty hdd unajinunulia mwenyewe.

Alternative unaweza tumia desktop ya kawaida ukaigeuza Nas zipo open source software kama Xigmanas/Nas4free, freenas etc. Unaweza uka Google. Tafuta desktop isiokula umeme yenye slot za hdd kama 4, unatengeneza Nas yako.
 
inafanya kazi online kama ilivyo google drive naweza weka kitu nika share link wew ukakipata frsh
 
inafanya kazi online kama ilivyo google drive naweza weka kitu nika share link wew ukakipata frsh
Inafanya kazi online ila sio kama hivyo kushare na mtu link.

Nas ni matumizi binafsi ama ya Kampuni, muna Acess data zenu kwenye Same network ama hata ukiwa mbali kupitia service mbalimbali ila huwezi kuifanya kama server za Kawaida za file hosting.

Kama unataka kwa ajili ya kuhost mafile na kushare na watu mbalimbali sina utahitaji IP toka TTCL ama mamlaka Husika, uwe na Server na HDD zako za Kutosha, Internet ya Uhakika 24 hrs etc.
 
Back
Top Bottom