Naomba kuelimishwa kuhusu Shudhuly

Naomba kuelimishwa kuhusu Shudhuly

Ndevu hakuna sehemu ni lazima ,ila Hijabu ni lazima kwa uthibitisho wa Qur an na biblia vyote .



Niqab ni kukokoteza ila hijab ni lazima ,yaani watu wanafanya ili kuondoka fitna za matamanio.
[emoji381][emoji381][emoji375][emoji381][emoji381][emoji375][emoji375]
 
Shadhly hao itakuwa walisoma qunut kuwaombea Waislam na ndugu zetu wa Ghaza.

Hiyo walipomaliza wakafanya dhikr. Isikutie wasi wasi. Ukiwazoea utawapenda.

Mradi gawavunji aqida za Uislam, hakuna shida.

Ulipomaliza kusali wewe ungeondoka tu, si lazima dhikr kuifanya hivyo.
Hapan hapa huna fact wanavyosali ndivyo dini ilivyoamrisha tuswali kwa namna ile
 
Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Sijaona neno hijabu mkuu. Kufunika kichwa hata masista wanafunika,wayahudi wanafunika
Anafunika na nn? Mikono au ? Hata wanazovaa masisters ni hijab hata uvae kwa kujifunika kwa kanga kuzungusha ushungi hijabu.

Screenshot_20231222-192431.png
 
Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Sijaona neno hijabu mkuu. Kufunika kichwa hata masista wanafunika,wayahudi wanafunika

Soma maana ya hijabh hat ile scarf ni hijab ,yaani ule mtindo wa kufunika kichwa kwa kuzungushia ndio hijab


Labda uvae kofia kama polisi kwa kuziba kichwa ndio itakuwa sio hijab

Screenshot_20231222-192644.png
 
Qur'ani, 24:30-31 hii surah mwisho ayah ya 31 itakupa muongozo hijabu inatakiwa iweje ifike wapi.


Kitu ambacho una mushkeri nacho usifanye bali uliza .
Hakuna aya ya quran inayoelekeza kuvaa niqab,aya inaelekeza wanawake wateremshe shungi mpaka vifuani
 
Yale sio mapepo. Wanasoma quran kwa mizuka na kucheza na kufurahi.

Utaniambia wanaocheza makanisani nao ni mapepo?
Mizuka ndio mapepo yenyewe sheikh
Sema ya ibada inahitaji utulivu wa kimwili na kiroho
 
Hakuna aya ya quran inayoelekeza kuvaa niqab,aya inaelekeza wanawake wateremshe shungi mpaka vifuani
Kasome hapo acha kupotosha nimekupata soma mwisho hapo....Hakuna muislamu mjinga avae hijab halafu hamna andiko ..
Soma hapo utaelewa hijab mwisho wake ni wapo kisheria ..


Umekazania niqab na hilo ni neno tu 😅😅jinsi ya kujitanda kutimiza hilo andiko ndio wanavaa niqab ,kama utavaa majani ya mgomba yote sawa kikubwa ufunike sehemu kama ilivyoamrisha kweny Qur an kisheria..
 
Hio maana yako mkuu kwenye biblia hawajamaanisha hivyo. Ndo maana wakristo wengine wana vitambaa vya resi kufunika kichwa wakienda kanisani,hope huwa unaona hata kwenye movies
Soma maana ya hijabh hat ile scarf ni hijab ,yaani ule mtindo wa kufunika kichwa kwa kuzungushia ndio hijab


Labda uvae kofia kama polisi kwa kuziba kichwa ndio itakuwa sio hijab

View attachment 2850127
 
Hakuna aya ya quran inayoelekeza kuvaa niqab,aya inaelekeza wanawake wateremshe shungi mpaka vifuani

Kasome hapa utajua wanajifunika niqab haswa wake za watu ili wasipate kubuguziwa na watu wengine..


Al-Ahzab (33:59)

"Enyi Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake wa waumini, wajilaze nguo zao juu yao. Hivyo ni karibu zaidi kuwa watambulike, wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwenye Kurehemu


Then kasome Surah An-Nur 24:31
 
Hio maana yako mkuu kwenye biblia hawajamaanisha hivyo. Ndo maana wakristo wengine wana vitambaa vya resi kufunika kichwa wakienda kanisani,hope huwa unaona hata kwenye movies
Ndio hijab hiyo ukizungushia vile ,vile wanazovaa shuleni wanafunzi na vile za masister kuna tofauti....Hijab ni mtindo wa kuviringisha wala haikutajwa kitambaa wala nyasi.

Hata ukichukua jani ya mgomba ukaviringisha ni juu ya kichwa ,kupitisha chini ni sawa hata kanga , kutokana na teknolojia wangine wanashona kama "juba" yaani haitaki vishakizo unavaa yote ni hijabu
 
Tatizo unalazimisha kile unachoamini wewe pole mkuu
Ndio hijab hiyo ukizungushia vile ,vile wanazovaa shuleni wanafunzi na vile za masister kuna tofauti....Hijab ni mtindo wa kuviringisha wala haikutajwa kitambaa wala nyasi.

Hata ukichukua jani ya mgomba ukaviringisha ni juu ya kichwa ,kupitisha chini ni sawa hata kanga , kutokana na teknolojia wangine wanashona kama "juba" yaani haitaki vishakizo unavaa yote ni hijabu
 
Kasome hapa utajua wanajifunika niqab haswa wake za watu ili wasipate kubuguziwa na watu wengine..


Al-Ahzab (33:59)

"Enyi Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake wa waumini, wajilaze nguo zao juu yao. Hivyo ni karibu zaidi kuwa watambulike, wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwenye Kurehemu


Then kasome Surah An-Nur 24:31
Eti wajilaze!!..unatafsiri kwa mrengo wako,jilbabi ni ushungi,ushungi kwa kamusi ya kiarabu ni kitambaa kifunikacho kichwa,ndiyo maana aya inasema 'wateremshe shungi zao mpaka vifuani mwao' sababu shungi zingine zinaishia shingoni,sisi marijali enzo za ujana kabla picha za utupu hazijatamalaki,ilikua tukiona kifua cha binti kimevimba dhakari ilisimama gases,so aya tunaielewa
 
Asalam aleykum.

Leo sala ya Ijumaa nimesali Tabora Msikiti uitwao Shadhuly [ukitamkwa shazli]. Nakili sala yangu ilikua ngumu kwa sababu ya kupishana steps na wenzangu.

1. Rakaa ya pili baada ya kusomwa Surat fattah, kabla ya kusujudu, ikaingizwa maombi, ambao ni utaratibu mgeni kabisa kwangu.

2. Baada ya sala na dua. Nilitaka nifanye maombi binafsi. Ila Dua ile iliendelezwa kwa safu ya mbele kusimama na kutengeneza duara kwa kushikana mikono huku wakiwa kama wanarukaruka very subtly na huku baadhi wakiwa kama wanachagiza kwa kutoa sauti ya juu mithili ya mtu anayekabwa. Nilikosa utulivu hata wa dua binafsi.

wajuzi naomba elimu, hawa ni dhehebu gani? Wanaamini nini?
Hao ni Masufi, Allah awaongoze wamekuja kutuharibia dini kwa kuiendesha kwa fikra zao na matamanio yao. Bali mpaka kwa ndoto za Masheikh zao.

Kuna watu wametoa ushauri mzuri sana, ukipata wasaa ukifika katika mji, ulizia misikiti ya Masalafi kisha ukasali labda itokee dharura.
 
Back
Top Bottom