Naomba kuelimishwa kuhusu "BRUTE FORCE" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuelimishwa kuhusu "BRUTE FORCE"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Skillseeker, Aug 28, 2012.

 1. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hivi karibuni nimesahau password yangu ya application inayoitwa folder lock. mpaka sasa nimeshindwa jinsi ya kureset password ili niweze kurecover my files..niliwahi sikia njia inaitwa brute force ambayo hutumika katika kungundua passwords hasa kama password ni fupi..password yangu nauhakika haikuzidi 16 characters.

  Naomba mtu anielimisha niweze kujua jinsi ya kutumia hii brute force au kama kuna njia nyingine ambayo ni rahisi kwa kutumia software nyingine basi anitaarifu...
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  brute force inafanya kazi kwa kuguess password. Inajaribu kila password katika username yako. Kwa dakika 1 inaweza jaribu hata password 100 na zaidi tegemea na the way ilivoprogramiwa.

  Kwa folder lock lazma iwe ni software imeprogramiwa maalum kwa hio folder lock yako. Na charachter hata 8 tu inaweza chukua zaidi ya siku (kama umesoma probabiliy tunga neno la maneno 8 calculate).

  hebu ntajie jina la hio software naweza bahatisha google uchakachuo wake
   
 3. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,156
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  subiri wazee waje
   
 4. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  unatisha sana mkuu.
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hapo ni kama haujaunganisha numerals and letters, then

  urefu wa password ikiwa 4, complexity: a-z ==> less than 1 second


  urefu wa password ikiwa 4, complexity: a-zA-Z0-9 + symbols ==> 4.8 seconds


  urefu wa password ikiwa 5, complexity: a-zA-Z ==> 25 seconds


  urefu wa password ikiwa 6, complexity: a-zA-Z0-9 ==> 1 hour


  urefu wa password ikiwa 6, complexity: a-zA-Z0-9 + symbols ==> 11 hours


  urefu wa password ikiwa 7, complexity: a-zA-Z0-9 + symbols ==> 6 weeks


  urefu wa password ikiwa 8, complexity: a-zA-Z0-9 ==> 5 months


  urefu wa password ikiwa 8, complexity: a-zA-Z0-9 + symbols ==> 10 years


  urefu wa password ikiwa 9, complexity: a-zA-Z0-9 + symbols ==> 1000 years


  urefu wa password ikiwa: 10, complexity: a-zA-Z0-9 ==> 1700 years


  length: 10, complexity: a-zA-Z0-9 + symbols ==> 91800 years

  (a-z inasmamia letters only kwa herufi kubwa au ndogo tu)

  (a-zA-Z inasmamia letters mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo)

  (a-zA-Z0-9 inasmamia letters mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo plus letters)

  :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  :director: Nimetoka 0
   
 7. leh

  leh JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kabla mtu hajajaribu kukosoa hesabu zangu, hapa nimetumia mahesabu ya kujaribu kuhack gmail kwa kutumia *name withheld* ambayo inpiga 10,000 tries per sec on a dual core with a 1MB/s bandwith (na yes najua kuwa you cant brute force gmail, this is just an example)
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Ila brutus ni zaid ya soft ya kawaida inaweza fanya less zaid ya hivo
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kweli, nilitaka tu nimwonyeshe mshkaji kuwa kama amepiga password refu, imekulaje kwake :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  Hebu na mi niulize hizi software za kuhide mafile zinaficha mafolder au zinayachukua? I mean uki unistall inaondoka nayo mafile au inayaacha?
   
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  yanarudisha chief-mkwawa ila sio ya kuamini as windows ikija ikawa corrupt kiasi cha kuinstall upya then inakula kwako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kaka hakirudi ki2, ukinunua 4lder lock unapewa na master reset code endapo utasahau code zako, ukiingiza master unaweza kuanza upya with a new password but even with that wanakwambia data zote kwishney. Wana kamsemo kao 'IF YOU FORGET YOUR CODE THEN FORGET YOUR DATA' solution ni Linux ikishindikana na hapo bac just say adios to the data.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. leh

  leh JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kweli, ila mi nilifikiri anauliza akija uninstall hiyo program (am assuming kuwa ana codes zake) ndo maana nikasema if anything goes wrong (to go by your words) kwishney
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa urefu huo wa password kama ulichanganya na namba na alama ni next to impossible kurecover data zako.

  Mwamzoni nilipoanza kutumia simu na pc kila kitu nilikuwa naweka lock na password magumu gumu nikijiaminisha nalinda data zangu
  Lakini kiukweli nilikuwa nazipoteza kuliko kuzilinda kwa kusahau nenosiri

  Ushauri:
  Unatakiwa kuangalia unyeti wa data zako kabla ya kuweka lock
  Pia kama ni lazima jaribu kutumia nenosiri jepesi kabisa na rahisi kukumbuka likiwa fupi na rahisi kurecover kwa softwares

  Utakuta mtu unaweka lipassword gumu kwa kuficha picha zako tu au games......... Ya nini?

  Pole sana ndugu next time weka hata jina la demu wako wa kwanza, nahakika huta msahau.....ha haaaaa
   
 15. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  100, 100
   
 16. A

  Abdson Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  How many digit number can be formed from the numerals 1,2,3,4,5,and6 without numerals being repeated?hapo tuna guess password kwa kutumia probability,inamaanisha hizo nambari sita hapo juu zinaweza kutoa numerals ngapi,haya twende kwenye math, 1 mara 2 mara 3 mara 4 mara 5 mara 6=720 kwa hiyo namba hizo sita zinaweza kuzalisha numerals 720 tofauti tofauti,Kwa hiyo thats the way hizi programme
  zinafanya kazi,Kwa mtu kujaribu namba 720 tofauti tofauti ni kazi sana.
   
 17. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu nafikili muhuliza swali is not an IT GEEK hopefully - amehuliza swali in a lay language na alitegemea kupata majibu in a lay language, sasa aligorithms ulizo weka humu zitamsaidia kivipi kutatuwa tatizo lake - mimi ningetememea umushauri kwamba kuna app.prog fulani ina uwezo wa ku-guess PWD yake, nina hakika watumiaji wa kawaida awahitaji kujuwa what is inside the hood ya program yenyewe au TERAFLOPS za inside ya microprocess wala throughput za media.
   
 18. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kuna moja ambayo nilikuwa naijaribu nione, wakati na install ikauliza ivute mafaili yote au iyaache kwenye structure yake ya kawaida
   
 19. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  jina la software ni FOLDER LOCK 7.1
   
 20. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kushney....daaah
   
Loading...