Naomba kueleweshwa!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,ivi mdada akimwita man player boy huwa anamaanisha nin?
 
player boy sifahamu .... play boy.. Maana yake ni yule mtu womaniser/skirt chaser/ mzinzi wa kiume/gongerer...... Na mifano ya aina hiyo mzee.
 
pole sana kakushtukia kuwa una vidosho, ila madem huwa wanawapenda ma play boy coz game wanalimudu.
 
Playboy ni mtu wa videm.Mara nyingi hawapendi kuoa,wanaogopa uhuru utawaishia,maisha yao mara nyingi yanakuwa ya ovyo sana,na huishia pabaya.
 
player boy sifahamu .... play boy.. Maana yake ni yule mtu womaniser/skirt chaser/ mzinzi wa kiume/gongerer...... Na mifano ya aina hiyo mzee.

skirt chaser like you! :tongue:
avatar38040_2.gif
 
Back
Top Bottom