Ni sahihi kuoa mwanamke wa Facebook?

Ukifuatilia kwa umakini zaid mshamba ni yule anaemwita mwenzake mshamba ulisikia wapi kuna mtu anaishi fb ety mkuu, kukutana na mtu fb ni sawa na unavyokutana na mtu pale mtaani kwenu au unavyosafiri kutoka mkoa wako ukakutana nae mkoa mwingne ondoa hizo fikra mkuu sio kwa ubaya ila ndo uhalisia wa mambo ulivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom