Naomba kueleweshwa kuhusu vuna point za Halotel

Naomba kueleweshwa kuhusu vuna point za Halotel

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
8,950
Reaction score
18,475
Habari ya time hii wakuu,

Nimekuja kuuliza kwa mwenye kuelewa namna ya kufaidika na hizi point za Halotel ,jinsi ya kuzitumia. Maana Kila niliweka vocha huwa wananiletea sms ya kuonesha nimepewa point na kiasi Cha point nilichonacho.

Bado sijakupa matumizi yake je ni yanalingana kama ya Vodacom? Na kama ndo hivyo nazipataje nimejaribu nimeshindwa na kabla sijapiga kwao nimeona sio mbaya nikauliza wadau humu.

Mfano wa sms[emoji116]

Umepokea pointi 100 kwa kuweka vocha TSH. 1000. Una jumla ya pointi 4690. Fungua Super APP, Piga *148*66# kuvuna faida au tembelea tovuti ‎MyHalo kupata taarifa zaidi. Asante!
 
Mimi nazitumia sanaaa tu
Install app ya MYHALO

ingia sehemu ya point chini kuna symbol ya crown utanunua data hapo

NB: Nunua kidogokidogo anza points buku ikikaribia kuisha unanunua tena za buku hadi points ziishe
Kwasababu zinadumu kwa 24hrs tu.

50MB = 500MB 100MB = 1GB
 
Mimi nazitumia sanaaa tu
Install app ya MYHALO

ingia sehemu ya point chini kuna symbol ya crown utanunua data hapo..
Shukrani mkuu ngoja nijaribu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom