vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,285
- 820
Yaani katika watu wote wa hapo SAUT MBEYA loan officer ameanza kukupigia ww. My dear brother chai yako haina tangawizi wala sukari alafu ni chungu mnoMa loan ofisa wa vyuo watakuwa wana access moja kwa moja na loan board sasa why mnabisha wazee
Tusubir
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app