Mzee kma uliomba mwakajana ulikose mwaka huu ni lazima upate naona unashakw Sana broAmeni, Imani hujenga. Siku zote tuwe na kauli ya kushinda. Kushindwa ni bahati mbaya. Tuamini hili
Mzee kma uliomba mwakajana ulikose mwaka huu ni lazima upate naona unashakw Sana broAmeni, Imani hujenga. Siku zote tuwe na kauli ya kushinda. Kushindwa ni bahati mbaya. Tuamini hili
Ndio nimeomba firstMzee kma uliomba mwakajana ulikose mwaka huu ni lazima upate naona unashakw Sana bro
NothingAny changes.......
Kwangu hakunaAny changes.......
Duh jamani isiwe shida usiku mwema guys , i hope kesho tutakutana na congratulations kwa dashboard zetuNothing
Bahati mbaya sijakutana naoDuh jamani isiwe shida usiku mwema guys , i hope kesho tutakutana na congratulations kwa dashboard zetu
Morning Master.. Vp ulivyocheck kuna mpya..?Morming guys bado tu hawajaupdate
Nothing changed as usual sijajua wwMorning Master.. Vp ulivyocheck kuna mpya..?
Basi ni kila account tuNothing changed as usual sijajua ww
Yaani nilivyoamka harakaharaka ungeniona ungesema ni chiziBasi ni kila account tu
Nimeona ktk text yao wamemjibu mtu kuw continous wataanza kuw ktk hii batch ya pili.CONTINUOUS bado sielewi
Hadi kwako haijabadilika mkuu?Dah hawa jamaa nimeamini ni taasisi isiyokuwa makini kabisa yani wametangaza majina mda sana lkn mpk sasa hawaja release upuuzi huu sasa inakaribia 24hrs
Only in Tz mambo ya ajabu sana.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ya darasa la 7 auResults out