Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Despacito

Member
Sep 18, 2017
77
157
Wakuu nmekuta hii taarfa kwenye account yang naomba nijue maana yake hasa ni nn?

Screenshot_2020-11-13-08-23-29-1.jpg
 
Thread zenye maudhuhi ya aina moja uunganishwa na kuwa uzi mmoja kupunguza marudio marudio ya nyuzi nyingi zenye ujumbe mmoja.
Mbona hakuna thread yoyote ile inayohusu mkopo hususan kwa Mwaka huu wa 2020/21 hata Jana niliandika thread kulalamika thread za Mikopo kufutwa bila ya kutolewa sababu but ndani ya dk 30 hiyo thread yangu ikafutwa tatizo sijui Ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom