Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Bro why nkudanganye kwenye suala kama hili sure nakwambia nimepigiwa simu nimeambiwa nikaripoti nimefanikiwa kupata

But kwenye akaunt hakujachange sasa sijui shida nn nadhan nikwa wote tusubiri

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Afisa mikopo wa chuo anapokea na kusainisha wanafunzi wanaoripoti.. hapo ndipo anachukua taarifa zako! Unataka kutudanganya amekujuaje mkuu kitokololo?
Lazima ujue hii ni private institute wanahitaj wateja ili kujiendesha ndyo maana wanakupa taarifa mapema wao wanafunzi ni wateja

Wazee mbona hamuamini

Basi na msiami over

Ila Mwenyezi Mungu awasaidie nanyi muwemo oh lord atufanyie wepec wakuu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom