Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,402
- 5,527
Basi wakishaanza kutoa huko kwenye accounts tujulisheni humu vijana maana tunasubiria hapa
Sawa mkuu tunaendelea kuwa wavumilivuKwa tuliopata first batch nadhani mnakumbuka ilikuwaje.. Mida kama hii waliandika kwamba hatujapata ila baadae mambo yakawa fresh. Naamini kabisa hata leo system zitakaa sawa tuache kutisha washkaji ambao wanaosubiri batch two #sio_poa
Bora ya leo mnaambiwa "wait" kuliko ule ujumbe mwekundu wa siku yetu
Tusubiri wazee...View attachment 1628632
Bado.Anayesema kapata tunaomba aje na ushahidi ascreen shoot akaunt yake maana mm hapa kwangu maandishi ni yale yale
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
hawa 5168 wako wapi watuambie kinacho endelea kwasababu wengine wa not yet finalised sijui tuko kwenye hio hesabu au tusubil batch yetuNi kweli wametoa batch ya pili lkn mbona maandishi kwenye akaunti zetu yapo vile vile au ndyo tumekosa????View attachment 1628672View attachment 1628673
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
ukiambiwa not yet finalized wanamaanisha nini ktk mkopo huu?hawa 5168 wako wapi watuambie kinacho endelea kwasababu wengine wa not yet finalised sijui tuko kwenye hio hesabu au tusubil batch yetu
no ni yet finalized ila yet ni bado na finalized ni imekamilika sasa yet finalized sijui itakua ni nn coz ndo habari inayo trend sasaukiambiwa not yet finalized wanamaanisha nini ktk mkopo huu?
We jamaa nomajamani mwenzenu nimechanganyikiwa kabisaa, siamini macho yangu hii pesa sijui niitumieje
92000+Nimesoma taarifa hii ya leo walopata mkopo mpk sasa ni 52,473 wa mwaka wa kwanza wamepangiwa mikopo
Naomba kuuliza hv bodi mwaka huu walisema wanafunz wangapi waliomba mkopo nataka nijue wangapi watakuwa wamekosa?
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mamama92000+
Mkuu, wametoa au bado hadi sasa..?92000+
Oya acha usela basi ndugu yangu unatutafutia ban tu hapaJamani ingieni sasa kwenye account zenu, mambo yametema
Tuliomba kabla ya matokeo ya necta mkuu.. baada ya hapo kuna wengi walipoteza vigezo.. waombaji sio 92K tenaMamama
Kwa hyo 92000-52473= 39,527
Tulopita jeshini kuna kawimbo kanaimba hv
Nalia ngwena nangwena nalia ngwena nalia ngwenaaaaaa nalia ngwena nalia ngwena.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app