Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Mkuu tumeanza wote kusubir hii batch toka mwanzo kuna vampire shombe la kiharabu na wengi Mwenyezi Mungu mkuu atusaidie wote tupate
Mm sina hakika sana ila mtu kanipigia simjui kajitambulisha hvo anatoka chuo nilichopata mm ananihongera kwamba nimepata na iwe hvo japo akaunti yangu haijabadrika lkn hawa ma loan officer wa vyuo husika wana access moja kwa moja toka loan board naanza amini

Wote tuombe tutapata

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Amiin mkuu na hongera sana kwa kupata. Yaani hapa na bonge la usingizi sema siwezi lala kutokana na mawazo ya loan kwa kweli
 
Wakuu Hiv Kuna tatzo gan mbona thread za mikopo huwa zinafutika ghafla
Halafu HESLB ni Wazembe sana, hata katika kutatua matatizo ya watumishi wanaokatwa pesa wakiwa kazini

Yaani utafikiri inaongozwa na watu wasiosoma na kujua Management.
 
Mkuu tumeanza wote kusubir hii batch toka mwanzo kuna vampire shombe la kiharabu na wengi Mwenyezi Mungu mkuu atusaidie wote tupate
Mm sina hakika sana ila mtu kanipigia simjui kajitambulisha hvo anatoka chuo nilichopata mm ananihongera kwamba nimepata na iwe hvo japo akaunti yangu haijabadrika lkn hawa ma loan officer wa vyuo husika wana access moja kwa moja toka loan board naanza amini

Wote tuombe tutapata

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu kama ni kweli basis hongera yako, Sisi hebu tuendelee kusubiri mpaka sekunde ya mwsho..
Tulianza wote kwenye shida naamini tutamaliza na furaha..
Mungu Tuvushe katika hili
 
Kweli kaka tatizo ni hawa loan board ila nadhani vyuon majina wameyapata mapema hawa maafisa wa mikopo mm sitanii wakuu wamenipigia kabisa Mungu wangu shahidi sasa shughri ni mtandaoni kuyaweka.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom