Stralis
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 618
- 613
Naamini hakuna na kama wapo hawana majigambo kama watu wanaobwabwaja humu bila vitendo, tumeona watu (geeks) wanavyoichakachua (jailbreak) iOS na wamekuwa kifua mbele kutudhibitishia hilo na tumeona karibia kila version ya iOS imekuwa jailbreak hili mbona hatubishi!? Kwenye ukweli tuwe wakweli kwenye uhalisia tuwe halisi, sio mtu unakuja unasema inawezekana halafu tukikwambia dhibitisha mtu anabaki kutoa nadharia tu, ili uweze kubypass icloud activation huna budi kutoa kill switch chip na ukifanikiwa kutoa hiyo kill switch basi huna mawasiliano labda hiyo simu ibaki kama ipod tu. Na ikiwa kuna mtu atakuja kuniprove wrong kwa vitendo nitabadili msimamo
Humu kuna watu wapuuz sana hasa huyo anaetoa icloud sasa anatoa hyo icloud af badae sim inatumia wi-fi peke ake sas ina maana gani ya Simu mana kama kaz ya iphone ni sim ya mkonon af badae ukatoa icloud ukatumia wi-fi Only n upuuz sasa inakua sio iphone tena kwahyo MPAKA SASA ICLOUD HAINA MPINZANI HUKO ULAYA WAMEHANGAIKA SANA NA HUYO MTOA ICLOUD KAMA UNGEWEZA KUIRUDISHA IPHONE VILE VILE KAMA MWANZO ANGEKUA ANAMFUKUZIA BILL GATES UTAJIRI
NA MAGAZETI YANGEKUANDIKA KUA MTU WA KWANZA MWENYE NGOZI YA RANGI YA MATAIRI('Muafrika) KUA BILIONEA KUMFIKIA BILL GATES