Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

lete babu ntafte kwa namba 0765-096851 ipad nikutolee icloud natumain utakuwa shaid wangu wa kwanza dondoka inbox tu negotiate bei malipo baada ya kazii kaka
1473130165667.png
Nilichapwa Iphone yangu ilikuwa na Icloud baada ya miezi miwili nikapokea Email hiyo [emoji22]
 
najua ivo vitu zaid ata unavo hisi io mashine unayo isema wewe haitoi loki inaitwa ic programer tool machine ina husika na issue za ku read data kufix blocks kwenye HDD zilizo corrupt na error mbalmbal ku write S/N na imei kwenye Nanda chip nK.. usa
lama upo saana na io icloud ukisha itoa jua data ztaftika ndo itoke ni ngum sana kutoa icloud uk data zbak ad u unlock data zina kuaga erased ko unakuta kitu aina data zote but securement Apple wapo vzur zaid nasaiv pia kuna njia inaitwa Nand exploit unatoa icloud kwakutumia setup.app ilo kuwa patched {hii wanaita kurestore CFW} una ngoa icloud but Inakua haina service amean line haisomi only wifi tu na wAy ipo applicable kwa iphone 5'Generations na baadh ya 6 Genetations kk bob
Lakini apple a9 chip si zinatengenezwa na samsung......hahahahaha
 
dah poa kaka nashukuru kwa kuniita mm tapeli If m ntapeli God knows Ww najua huna uelewa natumia nn kutoa io icloud na cjawai kutapeli m2 tangu nzaliwe but co kec a hop endelea ku fatilia thread hii cku mtu akileta ipad Wi-Fi hapa naiman utatenguwa kauli Utaniita mm Eduward Snowden i praY hard aje mtu mwenye iPad apa niku proove wrong NYC Time
Kwa nini sio iphone
 
kuna tofauti kati ya Icloud na pass code?
msaada mkuu
Yap mkuu, iCloud ni activation ya simu kwa ajili ya simu yako isiibiwe na security ya vitu vyako unavyoupload kwenye icloud account na passcode ni ile password ya kawaida ya kufungulia simu kama ilivyo pattern kwa simu za android
 
Nahisi hujaelewa kinachoongelewa hapa na hicho kilichopo kwenye hizo link ni vitu viwili tofauti mkuu, hapa tunaongelea iCloud activation na hizo link zinazungumzia jinsi watu walivyoingiza code kwenye system ya iOS ili kuweza kuhack camera, microphone na storage za iphone na tayari Apple wameshafix kwenye toleo la iOS 9.3.5, hii haihusiani kabisa na iCloud activation
 
Yap mkuu, iCloud ni activation ya simu kwa ajili ya simu yako isiibiwe na security ya vitu vyako unavyoupload kwenye icloud account na passcode ni ile password ya kawaida ya kufungulia simu kama ilivyo pattern kwa simu za android
Kwahiyo passcode inaweza ondolewa ila icloud haiwezi ondolewa kwenye hizi iphone?
Na mtu anapoiwasha simu huanza kuifungua passcode au icloud?
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Yap, passcode inaondolewa kirahisi kwa sababu yenyewe unatumia iTunes kuirestore simu mambo yanakuwa poa, ila icloud inahitaji authentication kutoka kwenye server za Apple, sasa mtu anapotaka kubypass ina maana anataka kufanya activation ya icloud bila kupitia kwenye server za Apple, wengi huwa wanajaribu na kuishia kuharibu simu zao. Licha ya Apple kutoa bidhaa imara na bora pia security ni jambo mojawapo linalowaweka na kuwatofautisha na manufacturer wengine kama yeye
 
Inamaana ukifanikiwa kuondoa passcode/ password unaweza tumia simu hata kama ina icloud?
 
k
Kwahiyo passcode inaweza ondolewa ila icloud haiwezi ondolewa kwenye hizi iphone?
Na mtu anapoiwasha simu huanza kuifungua passcode au icloud?
aka pass ode inaondolewa endapo tu cmu haina icloud account then unaondoa kwa itunes through restore or 3u tools thro flashing ipsw pia iCloud inaondolewa kwa njia mbal mbal but icloud pia inatoka af pia tena passcode znatoka kwa njia ya IP Box ata kama cm ina icloud ipbox inatoa so kilakitu kinawezekan kka
 
View attachment 394418 Nilichapwa Iphone yangu ilikuwa na Icloud baada ya miezi miwili nikapokea Email hiyo [emoji22]
dah apo mkuuu umeibiwa mara yapole dahhh pole sana io msg kama uliifungua tayar ushawapa key za kufuta icloud yako io inaitwa script walituma ili ku featch password na od yako ili waweze ku log out huwez kuielewa but mm nahusika na izo kaz najua nkiiona naweza kutofautisha Fake na OG Page io ni uliibiwa tena kwan uliijaza pass na id apo
 
View attachment 394418 Nilichapwa Iphone yangu ilikuwa na Icloud baada ya miezi miwili nikapokea Email hiyo [emoji22]

kama unataka kuipata sasa apo fanya kitu ki 1 inabidi ufuatilie hio domain+webhost ilotumika kutuma io phishing page ni ya nan ili uweze kumkamata uyo fundi aliepelekewa io kazi ya ku unlock cmu yako an apo wamekuibia kwa second time tena kama ulijaza id na password umewapa keys za kufungu na washa ifuta io icloud account yako kitamboo sanaaa af uyo fundi pia inaonekana msha,ba coz script zake zpo detectable sanaaa coz znajionesha waz kabisa nzawizi
 
Lakini apple a9 chip si zinatengenezwa na samsung......hahahahaha

u r here to challeng me onlY bro not 4sharing ideas en experiences sorry am not a man of that tYpe 'f uthink am Scamming People well Pita kushoto Bro.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

zile ni malicious software co udhaif umegundulika noooo bro ile malicious software ikitumwa ina read info zote aliewah kugundua kitu unayo isema n mzee 1 iv jin lmentok kdogo ndo aligundua virus ambae akingia in apples devices ana erase even shutting down iDevices na alimfuta virus uyo mapema sana kabla hajaangukia kwenye mikono ya mi nyang'au inojua ku misusse vtu watu weng sana walo soma coding hasa nchi za wenzetu pple like minacriss nawengne weng wanaweza cheza na sever za apple as they want na kutoa vi icloud tena kupitia itunes au Fiddler (web debbuging )kaunaijua coz software y itunes ina kuwaga integrated na applesevers tu pele PC inapokuwa connected with WiFI ka umefatilia miaka ya 2014 icloud ilikua mtu unatolewa Free kbsa even for 5$ just like free na akina albert.apple.com na minacriss kupitia Doucli activator ambo applewalkuja kupatch izo software zote naku wachukulia hatua hawa jamaa coz walikua wana ua majigambo yao co watu weng weng sana wana uwezo eakutoa io icloud but tatizo ni moja tu apple wako macho 24hrs ku patch any software ino kuwa released ili kutoa icloud ndomaana youtube huwez ukakuta 100% way ya software yakutoa icloud coz apple wana futaga video as soon as inapokuwa released en apple kama wangekuwa wanajiamin wao wana security kali waachietu tu patch software au kufuta vido youtube uone sasa jinc dunia ilivo na vichwa vibov kama icloud inawa simple ka frip Lock wanajua watu wanaweza kuwa tikisa sema wanajilinda sana ata wachina wana team kama pangu jailbreak team unafkil team ka hio icloud inaugum gan kwao akat wanauwezo wakutengeneza exploit ya ku view internal sysytem files za apple bob watu wNa weza sema apple awajiamin wana patch vitu vinavokuwa made ku save watu.futasooas vidd
 
kama unataka kuipata sasa apo fanya kitu ki 1 inabidi ufuatilie hio domain+webhost ilotumika kutuma io phishing page ni ya nan ili uweze kumkamata uyo fundi aliepelekewa io kazi ya ku unlock cmu yako an apo wamekuibia kwa second time tena kama ulijaza id na password umewapa keys za kufungu na washa ifuta io icloud account yako kitamboo sanaaa af uyo fundi pia inaonekana msha,ba coz script zake zpo detectable sanaaa coz znajionesha waz kabisa nzawizi
Sijakuelewa hebu nieleweshe vizuri mkuu.
 
zile ni malicious software co udhaif umegundulika noooo bro ile malicious software ikitumwa ina read info zote aliewah kugundua kitu unayo isema n mzee 1 iv jin lmentok kdogo ndo aligundua virus ambae akingia in apples devices ana erase even shutting down iDevices na alimfuta virus uyo mapema sana kabla hajaangukia kwenye mikono ya mi nyang'au inojua ku misusse vtu watu weng sana walo soma coding hasa nchi za wenzetu pple like minacriss nawengne weng wanaweza cheza na sever za apple as they want na kutoa vi icloud tena kupitia itunes au Fiddler (web debbuging )kaunaijua coz software y itunes ina kuwaga integrated na applesevers tu pele PC inapokuwa connected with WiFI ka umefatilia miaka ya 2014 icloud ilikua mtu unatolewa Free kbsa even for 5$ just like free na akina albert.apple.com na minacriss kupitia Doucli activator ambo applewalkuja kupatch izo software zote naku wachukulia hatua hawa jamaa coz walikua wana ua majigambo yao co watu weng weng sana wana uwezo eakutoa io icloud but tatizo ni moja tu apple wako macho 24hrs ku patch any software ino kuwa released ili kutoa icloud ndomaana youtube huwez ukakuta 100% way ya software yakutoa icloud coz apple wana futaga video as soon as inapokuwa released en apple kama wangekuwa wanajiamin wao wana security kali waachietu tu patch software au kufuta vido youtube uone sasa jinc dunia ilivo na vichwa vibov kama icloud inawa simple ka frip Lock wanajua watu wanaweza kuwa tikisa sema wanajilinda sana ata wachina wana team kama pangu jailbreak team unafkil team ka hio icloud inaugum gan kwao akat wanauwezo wakutengeneza exploit ya ku view internal sysytem files za apple bob watu wNa weza sema apple awajiamin wana patch vitu vinavokuwa made ku save watu.futasooas vidd

Kama ingekuwa rahisi kiasi hicho unavyoeleza mkuu sidhani kama FBI wangeangaika na iphone ya yule gaidi kiasi kile hadi kupeleka bungeni kuwalazimisha Apple waifungue

Tambua kila uchao Apple wanazidi kukaza, hao hacker si unawaona hadi leo wanahaha kujailbrake ios kuanzia ya 8.xx sijui hawajafanikiwa full

As far as i know iphone ikiwa locked na icloud hakuna unachoweza kufanya zaidi ya kuigeuza toy au spea

Mwisho ningekushauri utumie uandishi kama mtu mzima aliyekomaa akili
Aina ya uandishi unayoitumia inaweza pia kukufanya uonekane una utoto fulani na hujui usemalo
 
duh utoto tena apo unakua unatumia lugha co nzur but co kirahis kwel as i explained but pia tambua nchi zawenzetu kuna high rate increase ya ma coders en Apple wanatumia Language hizo hizo zinazofundishwa vyuo km havard ku encrypt Device zao so kuna Developers weng pia wanaelewa but shida ilowafanya FBI iwahangaishe nadhan waliiweka ishu popular sana sa na Apple wakapata kUpenyo kaku kaza but all in all bila msaada wa apple FBI wIpenetrate tena navoskia nkwamsaada wa mtu ambae hat co member walimlipTu Aka fany mishe..
 
en all in all bado icloud znatoka daily kwenye device zenye clean imei
 
  • Thanks
Reactions: MC7
duh utoto tena apo unakua unatumia lugha co nzur but co kirahis kwel as i explained but pia tambua nchi zawenzetu kuna high rate increase ya ma coders en Apple wanatumia Language hizo hizo zinazofundishwa vyuo km havard ku encrypt Device zao so kuna Developers weng pia wanaelewa but shida ilowafanya FBI iwahangaishe nadhan waliiweka ishu popular sana sa na Apple wakapata kUpenyo kaku kaza but all in all bila msaada wa apple FBI wIpenetrate tena navoskia nkwamsaada wa mtu ambae hat co member walimlipTu Aka fany mishe..

Tukubaliane jambo moja hapa, utaweza tu kuifungua icloud kwa phishing.... Ambayo ni bahati na sibu kwa maana ya kumcheat muhusika akupe login details zake bila kujua

Ila sita mung'unya maneno KAMWE HAUWEZI KU PENETRATE SAVER ZA APPLE KUBYPASS ICLOUD...... HAUWEZI

Hao jamaa walioifungua simu ya yule gaidi hawakupenatrare saver za Apple bali wali i assemble iphone na kuzichukua data husika kutoka kwenye chip

Tusikae tunadanganyana hapa eti wewe upo hapa Tz unajingamba naweza kubpass icloud wakati manguli wenyewe jailbrake inawatoa jasho
 
kaka kama una device yoyote nlotaja apo juu noomba chuku namba hii 0765096851 ni tafte tufanye kaz na mm co chizi mpaka niandike kitu kama ichi inamaananina uhakika aslimia 100% tafadhr naomba uni heshmu tu kama una kazi lete ko Aple ndo wamekua Miungu izo seva zao hazitikisiki
kweli kuna watu waongo unataka kusema hata iphone iliyotolewa report unaitoa kama sio uongo
 
Back
Top Bottom