Geocruz89
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 130
- 95
Kujutia hela kupo tu mkuu inategemea nahitaji satisfaction ipi katika manunuzi yangu. Kila kitu kina point ya kukienjoy na kukudiappoint pia. Kwanza ajue anataka nn kutoka kwenye hyo device na pili ajue atakosa vilevileIPhone 6plus ni simu ya kisasa kabisa. Alafu battery yake iko vizuri sana inunue hutajutia hela yako.