Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,003
- 1,102
- Thread starter
- #81
Dah! Nimeninua iPhone 5s laki 7 naweka line naambiwa haishiki 4g. Dah nimechoka, jamani kuna msaada wowote?
Mkuu hebu tueleweshe kwanza umeinunua kwa nani na ni laini ya mtandao upi!? Pia kwenye settings uliwezesha 4G kwenye iPhone kama hujaweka 4G by default haiwezi kushika 4G,Dah! Nimeninua iPhone 5s laki 7 naweka line naambiwa haishiki 4g. Dah nimechoka, jamani kuna msaada wowote?
Anafikiri ukiweka line inakuja tuu...Mkuu hebu tueleweshe kwanza umeinunua kwa nani na ni laini ya mtandao upi!? Pia kwenye settings uliwezesha 4G kwenye iPhone kama hujaweka 4G by default haiwezi kushika 4G,
Mkuu hebu tueleweshe kwanza umeinunua kwa nani na ni laini ya mtandao upi!? Pia kwenye settings uliwezesha 4G kwenye iPhone kama hujaweka 4G by default haiwezi kushika 4G,
FBI kitu gan mkuu ukiambiwa ebu elewa coz nimekuona mbishi sana watu hawafanani bhna mwenyew nshawah kushuhudia jamaa 1 akitolewa icloud na ilikuwa locked but zaman kidogo2015 January me bado nilikuwa sijanunua iphoneduh utoto tena apo unakua unatumia lugha co nzur but co kirahis kwel as i explained but pia tambua nchi zawenzetu kuna high rate increase ya ma coders en Apple wanatumia Language hizo hizo zinazofundishwa vyuo km havard ku encrypt Device zao so kuna Developers weng pia wanaelewa but shida ilowafanya FBI iwahangaishe nadhan waliiweka ishu popular sana sa na Apple wakapata kUpenyo kaku kaza but all in all bila msaada wa apple FBI wIpenetrate tena navoskia nkwamsaada wa mtu ambae hat co member walimlipTu Aka fany mishe..
Nenda google uliza top ten za simu utaona hiyo iphon ni ya ngapiZaidi ya camera nzuri, simu za Samsung hazina zinachoifikia iphone.
Iphone is a productivity phone, highly customizable between hardware and software.
Hahahahaha eti haujitangazi. Kuna kampuni inyojitangaza kama apple hebu niambie ni nini kipya kwenye appleWewe jamaa unanifurahisha sana, usiamini kila ukisomacho kwenye mtandao, apple haijitangazi kama Samsung ni kama Google inavyosema kwamba best country in intelligence ya kwanza ni Pakistan wakati VATICAN hana mpinzani hapa duniani. Ni tofauti sana kulinganisha plastic na aluminium
Hahahahaha eti haujitangazi. Kuna kampuni inyojitangaza kama apple hebu niambie ni nini kipya kwenye apple
Hamna kipya nimetumia. Hamna mtu atajaribu kutoa hela mfukoni kununua iphone walio nazo wengi wamepewa na nndugu zao waliokurupuka kununua au wametumiwa kutoka ulayaHuwezi kujua wala kufahamu uzuri wa kitu kama hujakitumia wala kukigusa. Itafute iphone 6s plus au 6 ya kawaida ukae nayo japo 2 weeks zen urudi hapa kijana.
Hamna kipya nimetumia. Hamna mtu atajaribu kutoa hela mfukoni kununua iphone walio nazo wengi wamepewa na nndugu zao waliokurupuka kununua au wametumiwa kutoka ulaya
Umeshajua ni nini kipya kwenye iphone 7.? Kama badi nitakusaidia. Huku Samsung wameshatesa sana na fast chager, wireless chager,[emoji33][emoji33] how old are you?
Umeshajua ni nini kipya kwenye iphone 7.? Kama badi nitakusaidia. Huku Samsung wameshatesa sana na fast chager, wireless chager,
Mbinu za kibiasha hizo. Hata iphone unakumbuka ilikua na tatizo la kupinda koz ya aluminum. Hiyo ilikua mbinu ya kumwachia iphone apumue kidogo koz amepotea ila nimeshangaa kuwa eti iphone kitu kipya walicholeta ni kuwa na tundu moja tuu so tundu la earphones halitakuwepo.
Mbinu za kibiasha hizo. Hata iphone unakumbuka ilikua na tatizo la kupinda koz ya aluminum. Hiyo ilikua mbinu ya kumwachia iphone apumue kidogo koz amepotea ila nimeshangaa kuwa eti iphone kitu kipya walicholeta ni kuwa na tundu moja tuu so tundu la earphones halitakuwepo.
Ujisitudanganye kwamba hamna namna ya kubypass apple security. Hiyo system imetengenezwa na watu sio malaika au Sir GOD. Nnachofaham mimi ni kwamba in any action there's equal and opposite reaction labda hyo sheria ukaitengue angani (space).The downside is that you obviously don't have any idea of how iOS actually works. There is no tool that will do it for you, we kamata wako hapa ikiwezekana anzisha na ID nyingine hapa ili uje ujisupport na wengine waingie mkenge ule hela zao kisha waje kukuanzishia thread nyingine tuchangie. Kuna msemo unasema wajinga ndio waliowao usihofu na comments zangu wajinga wapo kibao utawapata tu mkuu