Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

na uc cho kiweza wewe co watu wote hawakiwezz

*The biggest mistake u can do in this Life if to Give up*
Bahati nzuri devices za Apple ni ghari sana hivyo watu wengi hawana uwezo wa kuzimiliki vinginevyo ungekuwa umeshawatapeli watu wengi sana.
There is no way to bypass the iCloud Activation Lock. Apple made to make sure no one steals anyone's iPhone.
Bahati mbaya ni kuwa watu wote wanaomiliki iDevices ni wajanja wa mjini, ukikuta mtu anahangaika kutoa Apple iCloud Activation Lock ndo nyie mnawaingiza mjini
 
Naomba kufahamishwa nashindwa ku jailbreak 5s yangu mnielekeze hatua kwa hatua.
Pia naomba kabla nifahamishwe kuhusu data je zinafutwa au zinabaki wakati wa process ya jailbreak?
Shukran.
Mkuu kuijailbreak iPhone ni kutoitendea haki, labda nikuulize unataka kuijailbreak kwa sababu ipi kabla hujafikia uamzi wa mwisho
 
kaka kama una device yoyote nlotaja apo juu noomba chuku namba hii 0765096851 ni tafte tufanye kaz na mm co chizi mpaka niandike kitu kama ichi inamaananina uhakika aslimia 100% tafadhr naomba uni heshmu tu kama una kazi lete ko Aple ndo wamekua Miungu izo seva zao haz tikisiki nakama unataka nikuoneshe proove cheki iizipichaapa
1806bcbd1fe448740a96c9ea21474c07.jpg
6f65deb110ac4781ecae6da01180685c.jpg
Possibly..Man nitakucheki
 
Mkuu acha utapeli maana ni kosa, hizi picha sio kishawishi kwangu hata kidogo, maana hata mimi naweza nikatengeneza picha kama hizi, si napiga screen shot wakati device ikiwa locked na icloud halafu naweka icloud off kwa kuweka password kisha nascreen shot tena, ungeniambia unaweza kutoa pass code lock hapo ningekubaliana na wewe lakini icloud lock hapo hujanishawishi hata kidogo, geeks wa hii dunia wanahangaika na icloud, ni CIA tu na akina Snowden wanaweza kuhangaika na icloud lakini sio type yako unless uwe hujui icloud maana yake ni nini!

dah poa kaka nashukuru kwa kuniita mm tapeli If m ntapeli God knows Ww najua huna uelewa natumia nn kutoa io icloud na cjawai kutapeli m2 tangu nzaliwe but co kec a hop endelea ku fatilia thread hii cku mtu akileta ipad Wi-Fi hapa naiman utatenguwa kauli Utaniita mm Eduward Snowden i praY hard aje mtu mwenye iPad apa niku proove wrong NYC Time
 
Possibly..Man nitakucheki

Nicheki kaka Njoo na iPad , ipod ,iwatch ,macbook ,imac , na i device yoyote coz ndo utaweza atleast ku afford bei na malipo ni baada ya Device yako kuwa unloked ata uwe wap dunian coz i can unlock and relock muache anae bisha abishe anae niita tapeli aniite iphone no still bei ipo juu sana ko cna capital ya ku invest huko but ku unlock io natumia phishing ambayo io co guaranteed inaweza kuwa Rejected kama user aspokuwa phished but izo zingine na unlock directly Kwakutumia S/N bro
 
wambie utamu wa iphone hao Af pia mwenye iPad,mcbook,imack,iwatch,imack kasoro iphone narudia tena kasoro iphone mm natoa icloud within 2hrs remotely 100% ka una kaz lete

I phone kimeo kwenye ku unlock eeeh
 
dah poa kaka nashukuru kwa kuniita mm tapeli If m ntapeli God knows Ww najua huna uelewa natumia nn kutoa io icloud na cjawai kutapeli m2 tangu nzaliwe but co kec a hop endelea ku fatilia thread hii cku mtu akileta ipad Wi-Fi hapa naiman utatenguwa kauli Utaniita mm Eduward Snowden i praY hard aje mtu mwenye iPad apa niku proove wrong NYC Time
The downside is that you obviously don't have any idea of how iOS actually works. There is no tool that will do it for you, we kamata wako hapa ikiwezekana anzisha na ID nyingine hapa ili uje ujisupport na wengine waingie mkenge ule hela zao kisha waje kukuanzishia thread nyingine tuchangie. Kuna msemo unasema wajinga ndio waliowao usihofu na comments zangu wajinga wapo kibao utawapata tu mkuu
 
Jaman kwa wale wanaopenda kujifunza ku bypass apple securities mfano icloud bure kuna njia ckuiz ya ku patch CFW waende Youtube kunajamaa zkuiz ni mpya anajiita GeoSn0w au una google unaandika F.C.E 365 tv utaona ananjia nying za kubypass icloud kwa iphone 5 models na 6 lakini madhara ya njia yake nkwamba unapo bypass una softbrick baseband inayopelekea kuuwa wildcard tiket kitu kinacho inyima cm ic shike mtandao ko cm utaweza kuitumia kwa WiFi tu lkn Icloud itatoka mi nsha jarb iphone 6 ikatoka icloud kimbembe kikaja kwenye ku fix No Service ndo nmestuck apo so if ur interested with exploring apple securities chek t out njia ni ngum kdogo kwa beginers but wenye uelewakdogo na system files znazokuapo ndan ya jailbraked iphone c o ngum kwao. NYC time
 
Mkuu mi nashindwa kucheki video niganyeje? Nikienda kwenye kisanduku cha video au misic kinanipeleka kwenye istore nikifika hapo nikiclick inanambia open the iTunes u App nikiclick inanambia CANNOT CONNECT TO ITUNES STORE nifanyeje hapo?
 
IPhone 6plus ni simu ya kisasa kabisa. Alafu battery yake iko vizuri sana inunue hutajutia hela yako.
 
Mkuu mi nashindwa kucheki video niganyeje? Nikienda kwenye kisanduku cha video au misic kinanipeleka kwenye istore nikifika hapo nikiclick inanambia open the iTunes u App nikiclick inanambia CANNOT CONNECT TO ITUNES STORE nifanyeje hapo?

Hata cjakuelewa nn una maanisha bob: but for advice eb jarib ku update To version 9.3.5 coz ndo latest ilopo saiv then npe feedback inbox huko hop takusaidia ka wenzako baadh nme wapiga company na issue mbalmbal bob
 
Mkuu jua huu uzi mi ndio nimeuanzisha, hivyo ni ziro katika iPhone, ujanja wangu ni android tu, sijui hata huko ku update nielekeze kwa upande WA pili, nime ku PM mkuu
 
Mhhhh,... Mkuuu una uhakika gan na usalama wa iphone while china washapenetrate iyo apple!!!! Pia washatengeneza hardware za kuweza kutoa lock
Mshakaji no kweli China wanatoa izo icloud?ama cz kuna ya sister kasahau password aisee saiv no kama kopo tu ;tell me broda
 
najua ivo vitu zaid ata unavo hisi io mashine unayo isema wewe haitoi loki inaitwa ic programer tool machine ina husika na issue za ku read data kufix blocks kwenye HDD zilizo corrupt na error mbalmbal ku write S/N na imei kwenye Nanda chip nK.. usa
lama upo saana na io icloud ukisha itoa jua data ztaftika ndo itoke ni ngum sana kutoa icloud uk data zbak ad u unlock data zina kuaga erased ko unakuta kitu aina data zote but securement Apple wapo vzur zaid nasaiv pia kuna njia inaitwa Nand exploit unatoa icloud kwakutumia setup.app ilo kuwa patched {hii wanaita kurestore CFW} una ngoa icloud but Inakua haina service amean line haisomi only wifi tu na wAy ipo applicable kwa iphone 5'Generations na baadh ya 6 Genetations kk bob
Sasa ninazo mbili zina icloud utanisaidiaje boss
 
Back
Top Bottom