Mi nimeanza tumia iphone 3gs ikiwa cm yangu yakwanza ya iphone nikaja iphone 6 ambayo nilinunu VIVA tower, kwa sasa nipo masomon nje ya nchi nategemea kununua iphone 7s ambayo itakuwa na utofaut sana na iphone 7
Na iphone7 haina utafaut mkubwa na iphone 6s na wote wataishia ios 13. Ndio maana hata apple awajaitangaza sana iphone 7 ila 7s amin itakuwa tofaut sana.
Pia apple huwa wanabadili design ya cm baada ya miaka 3
Hapo utaona iphone 2,3,3gs hazikuwa na tofaut sana, iphone 4,4s na 5 pia hazikuwa na tofaut kubwa sana, iphone 6,6s na 7 pia hazina tofauti kubwa sana ila 7s tunategemea kuwa na utofaut mkubwa wa designing na engineering