Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

Iphone 5 na 5s ni identical.....ukiona iphonr imepewa s maana yake ni speed....kwa hiyo inakuwa vile vile ila upgrade ya internals

But at the end of the day swala la msingi mi ni kijamaa kimoja chokambaya sijawah hata kuiona iphone 6 in real life sim ya iphone niliowah kuishika kwa sekunde kadhaa ni 3gs

Sim ya bei mbaya kuwah kununua na kumiliki ni tecno y4

So dont take anything i say seriously bye

Nje ya speed kaka ila engineering ya cm inakuwa tofaut sana
Ndio maana utaona kuna common features kat ya iphone 5s na 6 mfano finger prints siri na vitu vingine
Kitu ambacho ni sawa pia kat ya 6s na 7
Ingia apple.com utaona hilo
Mi natumia iphone toka 2010 nikiwa na ios 4 mpaka sasa ios 10
 
Uhm siri imeanzia 4s
 
3d touch imeanzia 6s

Mhhhh your right vitu ving vinaanza kuwekwa kwenye s models

Siri ni program katika ios ambayo ilitoka na ios 8 kama sijakosea na iphone 4s ilikuwa inasuport hiyo ios 8 na imeishia kwenye ios 9

Ila nashukuru kuwa umekubali s series inakuwa bora zaid
Nam napenda zaid s series
 
Back
Top Bottom