Mwitu temboni
Member
- Aug 17, 2016
- 16
- 10
Pia hata usalama wa data labda 50%Mshakaji no kweli China wanatoa izo icloud?ama cz kuna ya sister kasahau password aisee saiv no kama kopo tu ;tell me broda
Pia hata usalama wa data labda 50%Mshakaji no kweli China wanatoa izo icloud?ama cz kuna ya sister kasahau password aisee saiv no kama kopo tu ;tell me broda
Mkuu hawa sio matapeli kweli nimeona uatakiwa ulipie 99, .. Us dollar ndo iactivetiweUnlock iCloud activation lock for your iPhone / iPad | iPhone IMEI.Net check hiyo link mkuu, me ninachojua iphone inausalama mzuri wa data zako but kuhusu icloud sio ishu inatolewa na kutumika safiii
Unlock iCloud activation lock for your iPhone / iPad | iPhone IMEI.Net check hiyo link mkuu, me ninachojua iphone inausalama mzuri wa data zako but kuhusu icloud sio ishu inatolewa na kutumika safiii
Jaman kwa wale wanaopenda kujifunza ku bypass apple securities mfano icloud bure kuna njia ckuiz ya ku patch CFW waende Youtube kunajamaa zkuiz ni mpya anajiita GeoSn0w au una google unaandika F.C.E 365 tv utaona ananjia nying za kubypass icloud kwa iphone 5 models na 6 lakini madhara ya njia yake nkwamba unapo bypass una softbrick baseband inayopelekea kuuwa wildcard tiket kitu kinacho inyima cm ic shike mtandao ko cm utaweza kuitumia kwa WiFi tu lkn Icloud itatoka mi nsha jarb iphone 6 ikatoka icloud kimbembe kikaja kwenye ku fix No Service ndo nmestuck apo so if ur interested with exploring apple securities chek t out njia ni ngum kdogo kwa beginers but wenye uelewakdogo na system files znazokuapo ndan ya jailbraked iphone c o ngum kwao. NYC time
Usiamini na kusadiki kila ukionacho online mkuu
Kuna mamia kama sio maelfu ya website na mavideo yanadai kutoa hiyo kitu
Mimi nina ipad yangu ipo Arusha, nitaifunga halafu nikupe sn yake uifungue
Nitakua wakwanza kukupigia debe hapa mkuu
Usiamini na kusadiki kila ukionacho online mkuu
Kuna mamia kama sio maelfu ya website na mavideo yanadai kutoa hiyo kitu
Mimi nina ipad yangu ipo Arusha, nitaifunga halafu nikupe sn yake uifungue
Nitakua wakwanza kukupigia debe hapa mkuu
Mkuu iyo njia kwahiyo network haitapona??serial namba za ipad zipo nyuma ya ipad pale haihitaji ufungue kitu af kuhusu swala la video mm nadhan nimesha angalia videoz nyingi zaid ya maelfu tangu nikiwa na age ya 13years in 2009 ko najua kitu nacho kiongea kukupa io direction kwauyojamaa inamaana nshafanya researy na experiment na nkapata outcomee bob i know wat amtalking 100%
Kabisaaaa imagine Google wanajua utafika SAA ngapi nyumbani kwako
ISIS ndioUmesema Google Sasa Google wakijua tatizo liko wapi lbd wewe uwe isis
Mkuu iyo njia kwahiyo network haitapona??
OK mkulayah network haitapona but possibility ya kupo na ipo incase kama ukiweza kutengeneza Wildcard ticket {activation} ticket coz pale unapo bypass unafuta setup.app ko unai force cm iluke activation screen kitu ambacho kina ua {soft brick } baseband ko ukitaka kurudisha network ya cellular may B u find means ujailbreak af utengeneze activation tiked lasivyo utabak kutumia over Wi-Fi en Bluetooth haztegemei SECZONE File ambo ina accelerate determination ya cm ku detect carrier bob
Ebu njo pm kakayah network haitapona but possibility ya kupo na ipo incase kama ukiweza kutengeneza Wildcard ticket {activation} ticket coz pale unapo bypass unafuta setup.app ko unai force cm iluke activation screen kitu ambacho kina ua {soft brick } baseband ko ukitaka kurudisha network ya cellular may B u find means ujailbreak af utengeneze activation tiked lasivyo utabak kutumia over Wi-Fi en Bluetooth haztegemei SECZONE File ambo ina accelerate determination ya cm ku detect carrier bob
Ebu njo pm kaka
kuna tofauti kati ya Icloud na pass code?Mkuu acha utapeli maana ni kosa, hizi picha sio kishawishi kwangu hata kidogo, maana hata mimi naweza nikatengeneza picha kama hizi, si napiga screen shot wakati device ikiwa locked na icloud halafu naweka icloud off kwa kuweka password kisha nascreen shot tena, ungeniambia unaweza kutoa pass code lock hapo ningekubaliana na wewe lakini icloud lock hapo hujanishawishi hata kidogo, geeks wa hii dunia wanahangaika na icloud, ni CIA tu na akina Snowden wanaweza kuhangaika na icloud lakini sio type yako unless uwe hujui icloud maana yake ni nini!
Nyie ma tecno nyiee!!Hamna simu nzuri kama android asikudanganye mtu
Sio techo but android unakuwa free kuwa developer na kuifanyia simu chochote unachotaka iweNyie ma tecno nyiee!!
Mkuu acha utapeli maana ni kosa, hizi picha sio kishawishi kwangu hata kidogo, maana hata mimi naweza nikatengeneza picha kama hizi, si napiga screen shot wakati device ikiwa locked na icloud halafu naweka icloud off kwa kuweka password kisha nascreen shot tena, ungeniambia unaweza kutoa pass code lock hapo ningekubaliana na wewe lakini icloud lock hapo hujanishawishi hata kidogo, geeks wa hii dunia wanahangaika na icloud, ni CIA tu na akina Snowden wanaweza kuhangaika na icloud lakini sio type yako unless uwe hujui icloud maana yake ni nini!