Naomba kirefu cha "RT"

Mabobish

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
366
280
Nimekutana na kifupisho hicho kwenye matumizi ya mazungumzo katika mitandao mara nyingi ila nimechemka kufahamu maana yake, naomba wajuzi wa kudadavua mnisaidie maana yake.
 
Kama ishu haihusiani na twitter inamaanisha Real Talk yaani ni facts na honesty tu ndiyo vinazungumzwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom