teddy richady
New Member
- Oct 9, 2019
- 3
- 3
Habarin Wana jamvi Mimi ni binti wa miaka20 natafuta kazi kwaaliyoko Moshi iwe mgaawa au sokoni iwe duka lolote iwe ya kuja na kuondoka
Habarin Wana jamvi Mimi ni binti wa miaka20 natafuta kazi kwaaliyoko Moshi iwe mgaawa au sokoni iwe duka lolote iwe ya kuja na kuondoka View attachment 1227788
Mke ushabeba boss au ndo chapa ilaleeDaaaah aiseee upo tayar kuwa mke nitumie namba yako pm
Mchumba unaye?Huku hawawekagi PichaHabarin Wana jamvi Mimi ni binti wa miaka20 natafuta kazi kwaaliyoko Moshi iwe mgaawa au sokoni iwe duka lolote iwe ya kuja na kuondoka View attachment 1227788
Huyu hana ID ya zaman.. Nihii ,nando maana kaweka picha.Duh! Mdogo wangu emu futa hiyo picha kwanza ndio tuendelee kujadili hitaji lako
Halafu utaje na ID yako ya zamani ,na useme kazi gani unaziweza
una point mkuuHuyu hana ID ya zaman.. Nihii ,nando maana kaweka picha.
Ktk vigezo na masharit ya JF ..hamna mahali palipozuiliwa mtu kuweka picha yake halisi.
Nadhan ni makando kando yetu ndo yanatufanya tuwe na hofu kias kwamba tunataka kuwaambukiza wengine hofu.
Kuna ubaya gan kama mtoa mada, ndani ya JF akifanyacho anakijua na haoni sababu ya kuindoa??.
Wengi wetu humu kuisema serikali , nakuogopea mionekano yetu halisi namna watu watakavyoichukulia ndo inafanya TUOGOPE KUWEKA PICHA.
Tuechen mbwembwe.... Kwa u serious wa mtoa mada, na ili aaminike kaamua kuweka napicha( ingawa na ugen pia wachangia) .
Wenye kazi msaidieni ..... Msokua nakazi, msifanye matumizi mabaya au kumshambulia sababu ya picha yake..
Mungu akusaidie mtoa.mada upate kazi.
Nimekupa "like"mkuuHuyu hana ID ya zaman.. Nihii ,nando maana kaweka picha.
Ktk vigezo na masharit ya JF ..hamna mahali palipozuiliwa mtu kuweka picha yake halisi.
Nadhan ni makando kando yetu ndo yanatufanya tuwe na hofu kias kwamba tunataka kuwaambukiza wengine hofu.
Kuna ubaya gan kama mtoa mada, ndani ya JF akifanyacho anakijua na haoni sababu ya kuindoa??.
Wengi wetu humu kuisema serikali , nakuogopea mionekano yetu halisi namna watu watakavyoichukulia ndo inafanya TUOGOPE KUWEKA PICHA.
Tuechen mbwembwe.... Kwa u serious wa mtoa mada, na ili aaminike kaamua kuweka napicha( ingawa na ugen pia wachangia) .
Wenye kazi msaidieni ..... Msokua nakazi, msifanye matumizi mabaya au kumshambulia sababu ya picha yake..
Mungu akusaidie mtoa.mada upate kazi.
Naona unaamini sura yako ni kete ya kukupatia kazi, siyo?Habarin Wana jamvi Mimi ni binti wa miaka20 natafuta kazi kwaaliyoko Moshi iwe mgaawa au sokoni iwe duka lolote iwe ya kuja na kuondoka View attachment 1227788
Naunga mkono hoja hiiPiga pcha ukionesha maungo ya nyumba, I guarantee utapata kaz