Naomba kazi ya duka au mgahawa. Napatikana Moshi

Duh! Mdogo wangu emu futa hiyo picha kwanza ndio tuendelee kujadili hitaji lako

Halafu utaje na ID yako ya zamani ,na useme kazi gani unaziweza
Afute picha kivipi unazani kila mtu anapenda kufeki life humu
 
Mleta mada wewe ni hafukasti au mtumia mkorogo?
Una elimu ya kiasi gani?
Umejiandaaje na waomba K badala ya kutoa Nazi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom