Naomba kazi ya duka au mgahawa. Napatikana Moshi

teddy richady

New Member
Oct 9, 2019
3
3
Habarin Wana jamvi Mimi ni binti wa miaka20 natafuta kazi kwaaliyoko Moshi iwe mgaawa au sokoni iwe duka lolote iwe ya kuja na kuondoka
PhotoGrid_1567777135632.jpeg
 
Me ni binti wa miaka20 nipo moshi natafuta kazi iwe ya mgaawani kusaidia kuuza masokon iwe dukani iwe ya kuja na kuondoka nipo Sirius msaada wenu jamani napatikana Moshi msaranga
PhotoGrid_1568992288695.jpeg
 
Duh! Mdogo wangu emu futa hiyo picha kwanza ndio tuendelee kujadili hitaji lako

Halafu utaje na ID yako ya zamani ,na useme kazi gani unaziweza
Huyu hana ID ya zaman.. Nihii ,nando maana kaweka picha.

Ktk vigezo na masharit ya JF ..hamna mahali palipozuiliwa mtu kuweka picha yake halisi.

Nadhan ni makando kando yetu ndo yanatufanya tuwe na hofu kias kwamba tunataka kuwaambukiza wengine hofu.

Kuna ubaya gan kama mtoa mada, ndani ya JF akifanyacho anakijua na haoni sababu ya kuindoa??.

Wengi wetu humu kuisema serikali , nakuogopea mionekano yetu halisi namna watu watakavyoichukulia ndo inafanya TUOGOPE KUWEKA PICHA.

Tuechen mbwembwe.... Kwa u serious wa mtoa mada, na ili aaminike kaamua kuweka napicha( ingawa na ugen pia wachangia) .

Wenye kazi msaidieni ..... Msokua nakazi, msifanye matumizi mabaya au kumshambulia sababu ya picha yake..

Mungu akusaidie mtoa.mada upate kazi.
 
una point mkuu
 
Nimekupa "like"mkuu
 
Kuna baharia kampanga kuwa huku watu wanatoa kazi. Ati ajisajili tu awake taarifa zake mambo yawe mukide
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom