Natafuta kazi

Natafuta kazi

Unaweza kufanya kazi mazingira ya kijijini?
Kazi ya u secretary/mapokezi.
 
IMG-20231109-WA0007.jpg
 
Mimi ni Binti wa miaka 21
nina elimu ya kidato cha nne cheti cha jkt na ujasiriamali pia.
Nina ujuzi wa secretary level 2 nipo mkoa wa Iringa mtaa wa mkwawa
Natafuta kazi reception, secretary ,customer care, duka lolote, au chochote kitachoendana na hiki nilichokiandika asanteni ....[emoji120]
 
kwa ww ulivo mrembo hvo kazi utapata tu dadaangu ila kuwa makini na mibazazi ya humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom