Naomba Jibu

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
 
Wakati mwingine ukimwambia wife huwa huimanishi!!!!
 
Kwani si unajua kusema huwa kwa terget fulani ukimaliza ujenzi what next??? tena km ulikuwa unataka kiduchu tu usepe ni ngumu kabisa kusema i love u ila km kweli unampenda bibie wako kusema i love u ni kawaida na lazma utakuwa unamaanisha ama sivyo umeshamchoka au anakuboaboa kila mara.
 
Bwana upendo umeshachakachuliwa so hata hitu tuneno twa i wot wot you tunajisemea tu so far ni maneno tuliyorithi tokea enzi za kina bi Saida...Mkuu R.M embu fikiria upo na dem whom yupo kibiashara zaidi ilihali na we unataka usiibiwe so unakazana ku-utilize ka elf tano kako ulikomhonga ni saa ngapi utakumbuka hata hiyo misamiati ya upendo?
 
Baba mchungaji asalamu aleykum!! Aisee najifunza bado....
 
It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
mchungaji umebadilika
mbona umejaa maneno machafu hivi?
 
It is easy because for men kupenda kweli kazi ipo ila mara nyingi emotions zao hua controlled na the Lust they feel, wakii name kama Love, ndio maana mara nyingi akisha lala nae neno nakupenda linakufa a natural death (na of course he is sleeping with the wife almost every day - hivo "I love you" inakua ilikufa na kuzikwa siku nyingi). At least that is what I think niki connect them dots.....
 
Hata huyo mke anae ambiwa I love You anakuja kama huyu bwana leo kafurahi au anataka kitu...
 
It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
Bwana yesu asifiwe baba mchungaji!
 
It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia

Mchungaji_chunga kondoo wa bwana,kama ulivyoachiwa.
 
Mchungaji kimeo huwa kinakaa sehemu gani ya mwili maana sijawahi sikia binadamu anayeitwa kimeo.

It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
 
It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia

Rev. swali gumu..ila naamini kama unampenda mtu mwambie unampenda, siyo vizuri kumdanganya. Sema nyie wanaume wengi mnajua kuchezea feelings za wanawake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom