Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,367
- 12,959
Mbona simple tu mkuu,,chekechea kabisaSawa bwana mahesabu.
Mbona simple tu mkuu,,chekechea kabisaSawa bwana mahesabu.
Huu ni ufala toka lini 2 + 5 ikawa 12?
Wewe una akiliHuu ni ufala toka lini 2 + 5 ikawa 12?
Huu ni ufala Toka lini 3 + 6 ikawa 21?
5 + 8 nasema ni 13
HahahahaKwakuwa hesabati umesoma peke yako au?
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Anakufundisha ili uelewe hiyo Ni technica eqnWee jamaa hiyo eqn ya 4+7 umeitoa wapi? Mbona kwenye picha ya mleta mada haipo?
Kizibo
Mkuu hata uliyeleta swali hukuelewa hiyo imetoka wap ,jamaa kainga full series...[emoji1][emoji1][emoji1]
Hakuna mlinganyo wa kuruka number Kama Ni series lazima ifanane huwezi kuiruka 4 hapoo.1 + 4 = (5)
(5) + 2 + 5 = 12
(12) + 3 + 6 = 21
(21) + 5 + 8 = 34 [emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni chemsha bongo usilazimishe mimi kuwa wewe, fanya uwezavyo na wewe kwa uwezo wakoHakuna mlinganyo wa kuruka number Kama Ni series lazima ifanane huwezi kuiruka 4 hapoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa. =4545
5 + 8 = ?
= (5 x 8) + 5
= 40 + 5
= 45
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]