Naomba jibu la swali hili wadau

Naomba jibu la swali hili wadau

Jibu ni 13
Huyu jamaa ndo genius wengine wote maandazi tu....hii ni mfano mzuri wa kwanini wajinga wanaendelea kuwa wajinga au masikini wanaendelea kuwa masikini,,kwasababu wanazaliwa familia masikini>wanakosa elimu nzuri>wanakosa ufaulu mzuri>wanakosa ajira nzuri>wanakosa mshahara mzuri>wanakuwa masikini>wanazaa watoto masikini....hiyo circle inaendelea na kuendelea.

Hapo kila mtu anajibu according to majibu ya mwanzoni je kama yamekosewa??
Assume mnaingia kwenye interview mmoja mmoja...wa kwanza kaenda kakosa swali la kwanza,wapili kaiga ujinga wa mtu wa kwanza nayeye kakosa la pili, wa tatu kaiga ujinga wa wa kwanza na wa pili nayeye akakosa la tatu...sasa wewe ndo wa nne unaingia je utafaulu au utaiga ujinga wa waliopita?
 
Kwaiyoo Hilo ndo jibu
 
Back
Top Bottom