Naomba jibu la swali hili wadau

1+4=5
2+5 +(5)=12
3+6+(12)=21
4+7+(21)=32
5+8+(32)=45
Chukua eqn ya pili, jibu lake lijumlishe na aibu la eqn ya kwanza, eqn ya tatu jibu lake jumlisha na jibu la eqn ya pili and so on
Nani hajaelewa?
Hii 4 + 7 = 32 imetoka wapi mm sikuweka
IMG-20200219-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walioesema jibu ni 34, wametumia kigezo cha 21+5+8=35.
Wanaosema jibu ni 45 inamaana wametumbukiza 5+8(5)=45.

Kwani nikisema tu jibu ni 37 kuna tatizo?

1+4 (1)=5
2+5(2)=12
3+6(3)=21
5+8(4)=37

Yaani kwa mfano tu.
 
Back
Top Bottom