Naomba JF iwe mshenga

Kumbe wasi wasi wako ni uzee kukuingia na sio mwenza wa maisha yako? Ucjali wapo wa aina yako humu mtafaana tu!
Kuna ubaya gani kuuwahi uzee?! au wewe unataka kuoa/ kuolewa ukiwa na miaka mingapi?
 
Nahisi na hii ni porojo tu yaani ningejua hata nisingepoteza muda wangu kuchangia kwenye thread zako kha??

Yaani dah jamaa umeniudhi kweli yaani maushauri yote yale kumbe ni porojo?? Hufai!!

Mwone vile kwanza nitakushitaki kwa MOD!!!! Painkiller au PAW
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Yaani muda wote tuliokupa ushauri kumbe ulikuwa unatupotezea muda tu, sasa utaoa uongo wako
Jamani Gaga, si mli resolve wenyewe kwamba yale si lazima yawe yamenisibu mimi ila naruhusiwa kuwakilisha ndugu na jamaa ambao hawajajiunga jf?! na si ndio maana nikasema yaliyopita myapotezee kwakuwa sasa hivi niko more than serious??
 
Nahisi na hii ni porojo tu yaani ningejua hata nisingepoteza muda wangu kuchangia kwenye thread zako kha??

Yaani dah jamaa umeniudhi kweli yaani maushauri yote yale kumbe ni porojo?? Hufai!!

Mwone vile kwanza nitakushitaki kwa MOD!!!! Painkiller au PAW

Refer kwa ufafanuzi niliompa Gaga tafadhari.
Tena wewe ulini pm ukasema hutochangia thread zangu daima sasa kulikoni hapa?!
 
Ha ha ha ha ha umenichekesha sana ngoja nisimwage radhi hadharani nimeamini hizi ni porojo u know what I mean!!!

Uwiiiiiiii yaani umenichekesha wewe jamaa sijui una nini asiee pole sana na kila la heri
 
hahaha! Dena ni mstaarabu sana..! ali ku PM! baadhi ya members wangeropoka hadharani na matusi

BTW ... good luck! nina swali ...! je akitokea ambaye hajatembea ( ku do) na wanaume zaidi ya mia, au ni bikira! je Hafai..?
 
Nidai Juice na Ice cream.
 
Duh atakaejitokeza akukubali na uongo wako, yaani story zote zile leo hii unasema porojo,loooo
Don't dwell on the past please! habari ya yaliyopita kwa kiswahili wanasema si ndwele tunatakiwa kuganga yajayo sio?!
 
hahaha! Dena ni mstaarabu sana..! ali ku PM! baadhi ya members wangeropoka hadharani na matusi

BTW ... good luck! nina swali ...! je akitokea ambaye hajatembea ( ku do) na wanaume zaidi ya mia, au ni bikira! je Hafai..?
Viper,; mtu aki ku pm ni between two parties communicating huna sababu ya kubisha ili ujipendekeze kwa Dena Amsi, kwanza hujasoma allinipm mangapi na lini changia mada mkuu acha ushambenga!
 
Ha ha ha ha ha umenichekesha sana ngoja nisimwage radhi hadharani nimeamini hizi ni porojo u know what I mean!!!

Uwiiiiiiii yaani umenichekesha wewe jamaa sijui una nini asiee pole sana na kila la heri
Kama unayo radhi ya kumwaga mwaga tu usiogope, kuna nini unaogopa?! ila ukimwaga mboga nitamwga ugali shauri yako!
 
Mtu mzima atishiwi nyau mkuu.

Kwa kuanzia natoa ahadi ya mchango wa harusi yako 500,000 Tshs. Im out naona umekuwa mkali kwangu
 
In fwact hiyo ahadi yako ni porojo Dena! ungenisaidia kwanza nimpate huyo wa kusababisha michango hiyo. Otherwise sijakutisha usiogope wewe mkkubwa bwana huwezi kutishiwa nyau kabisa yaani!
 
MULAMA , kwa kuwa wamejitokeza wachache so far , kwa nn usiongeze wigo kwa kubalidili hivo vigezo
Jst for a promo
Eti eeh? kama vipi mkuu nisaidie nibadilishe hivyo viegezo, manake mpaka sasa ukweli hajajitokeza hata mmoja sio kwamba wamejitokeza wachache hata hao wachache hakuna yaani! au sijui nina sura mbaya kiliniponza ushamba wangu wa ugeni kwenye jf nikaweka picha yangu halisi kwenye avatar kumbe wenzangu mnaweka za bandia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom