aaahh mkwe kwani mibyuzi imeisha hadi tunaanza kuchunana wenyewe kwa wenyewe!!!!! khaaa
nishakuja nikasi. vipi nifumbe macho au nizibe masikio?
Ex wangu mambo? Nilishajua zamani kwamba ipo siku utapatwa na tatizo hili.
Maskini kumbe hukuwa na habari dawa ya tiba yako uliisahau kwangu ktk masiku yaleeee!
Utazunguka sana Kusi na Kaskazi ni mie tu, ntakaekutibu!
Husninyo!
Kwa kipengele hichi , kimenifikichisha mboni kwa kitambo hivi !
Una maana hata nyakati zile Sirkali yangu imesimika kamba za Farasi kwenye Jamhuri yako, nyuma ya pazia ulikua ukiniita Mee? (mfugo toka Vingunguti)

shem amka nikwambie kitu.
Aah kaka wewe umenigaya siku hizi. Nishakusemea kwa wifi. Upendo wa kidugu umekuishia kabisaa!
haya nisubiri hapo hapo kwenye mataa nakuja.
aaahhh... x kila nikilog in nakutana na watu wanakulavyuu... wivu sina ila roho inauma ujue.
aaah... x hili ni shairi? nahisi bado nna usingizi.
Dear lisingetokea hilo andiko la "Wastara haumbuki" lisingetimia!
Kufuatia ombwe la kibuti ulichoniachia, wakaja wakunilavu na kunifuta machozi, na kuniibua ombweni .