nishakuja nikasi. vipi nifumbe macho au nizibe masikio?
Baba katika jina la..............................na wote tuseme amina.haya....1....2....3...
aaaah. kisala kifupi hata mbinguni hakijafika.
Haya ukalale sasa...
shkamoo ankal...we mbona hujalala? au aunt AshaDii anakupigisha story?