Naomba experience kwa waliowahi kupata ajali na kunufaika na Bima

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Habari JF,

Mimi nimepata ajali ya Bajaj, Bajaj hii inabima kuwa comprehensive ya 640000/=

Bajaj hii ni ya mkopo bima ni alliance insurance limited, Bado nafatilia report kituo Cha polisi.

Nilikuwa Nauliza kama Bajaj itatengenezwa inaweza kuchukua Muda gani?

Na kama nitapewa mpya inaweza kuchukua Muda gani?? Nizingatie mambo gani ili napate haki kwa haraka.

Naombeni ABC maana Bajaj hii ilikuwa Ina marejesho, na marejesho yapo pale pale.

Msaada.

PXL_20230320_032356049.jpg
 
View attachment 2560284

Pole sana kwa yaliyokusibu.

Binafsi si mtaalamu sana, lakini kwa experience yangu niliyopata kuhusu jambo husika.

Jambo la msingi ni kujikita kwenye aina ya mkataba wako unavyosema.

Hii unaweza kuipata kwa kupitia kabrasha za bima au kufika ofisi za bima na kuongea na mfanyakazi wa bima anaeshughulikia suala lako, ataeleza kwa kadri ya miongozo mtizamo ukoje na nini kinahitajika.

Mfano:
1: Kuna bima comprehensive na wahusika hushughulikia kukulipa gharama ya usafiri 20,000/= @ siku mpaka chombo chako kitakapokuwa tayari na hutoa maximum siku 30 kumaliza issue husika.

2: Ripoti ya traffic pia inaweza kuwa na nafasi kwenye ku-finalize malipo yote.
 
Nashukuru sana kaka
 
Habari JF,

Mimi nimepata ajali ya Bajaj, Bajaj hii inabima kuwa comprehensive ya 640000/=

Bajaj hii ni ya mkopo bima ni alliance insurance limited, Bado nafatilia report kituo Cha polisi.

Nilikuwa Nauliza kama Bajaj itatengenezwa inaweza kuchukua Muda gani?

Na kama nitapewa mpya inaweza kuchukua Muda gani?? Nizingatie mambo gani ili napate haki kwa haraka.

Naombeni ABC maana Bajaj hii ilikuwa Ina marejesho, na marejesho yapo pale pale.

Msaada.

View attachment 2560284
Mkataba ulitakiwa utambue case kama ajali ambazo hazizuiliki kama hizo na marejesho kusimama.

Mkiwa mnaenda kopa bajaj someni mikataba vizuri na nyie wekeni sehemu zenu, mkataba watakiwa ukunufaishe wewe pia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Habari JF,

Mimi nimepata ajali ya Bajaj, Bajaj hii inabima kuwa comprehensive ya 640000/=

Bajaj hii ni ya mkopo bima ni alliance insurance limited, Bado nafatilia report kituo Cha polisi.

Nilikuwa Nauliza kama Bajaj itatengenezwa inaweza kuchukua Muda gani?

Na kama nitapewa mpya inaweza kuchukua Muda gani?? Nizingatie mambo gani ili napate haki kwa haraka.

Naombeni ABC maana Bajaj hii ilikuwa Ina marejesho, na marejesho yapo pale pale.

Msaada.

View attachment 2560284
Ukikamilisha nyaraka haitazidi mwezi.. Alliance ni walipaji wazuri... Na hiyo kwa mwonekano ni total loss.. Beyond repair Hicho utalipwa mpya ila utachangia 5% madhani less excess
 
Back
Top Bottom