Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

Mwisho wa siku nilijua itakusumbua ubuntu anatumia mtu mwenye uelewa kidogo wa haya mambo maana kuna software nyingine hata kuziinstall huwezi. Mimi laiti ningeweza pata softwares kama illustrator, photoshop, premier pro sony vegas za ubuntu ningeamia kabisa ubuntu kwakuwa nikitumia wine bottler still software hazi run smoothly kama navyotaka.

Mkuu, kwa kifupi ni kwamba hakuna program iliyopo window then Ubuntu hawana program kama hiyo.

Kwenye ubuntu kuna programs zinazofanya kazi kama Adobe, iTune, IDM, nk. na ambazo zipo window na ubuntu zipo ni kama VLC, MOZILLA NA CHROME (Ambazo ni program zinazotoa huduma zake free kwa kila mtu). Hivyo ukienda software centre utakuta programs ambazo ni kama zile za window sema hizo ni free na zinauwezo sawa na uluzozizoea wewe.

Program za Kuuzwa kama Photoshop n.k hatuzitaki ubuntu maana lengo la ubuntu ni kila mtu anufaike na OS.

Kama kuna program huioni software centre update PC yako utaona wameongeza programs mpya daily.

Mimi sionagi hata umuhimu wa WINE maana sina mpango na programs za window nimejizoesha za Ubuntu.
 
mkuu si kwamba ubuntu sina ninayo na naitumia sana, lakini kwenye software centre nimetafuta software yenye kiwango cha photoshop na illustrator sijapata napata za kawaida tu kiwango cha photo instrument. nimeanza tumia ubuntu kitambo japo si sana lakini nimenza itumia toka 2008.
najua ni open source na free softwares lakini baado kuna softwares nyingi za maana kuzipata kwenye ubuntu platfoam ngumu ndiyo maana utakuta mtu anatumia ubuntu na window beside inakuwa aside unless labda kama mtumiaji ni mtu wa music, movies, internet na docs
 
Mkuu nimependa jinsi ulivyyofafanua ! Tatizo watu wanadhani ukitaka kuandika kwenye ubuntu basi kuwe na kitu kama ubuntu word!! au ubuntu exell!

kila program ya ubuntu inatengenezwa na developer tofauti, inategemea yeye developer ataamua kuiita jina gani. ikitokea program moja imetengenezwa nadeveloper zaidi ya mmoja, labda mfano music player, basi program zao hushindanishwa kupitia reviews itakayoonekana ni bora ,inakuwa ni default app kwenye next release of ubuntu,watu walisha zoea ,window media player, microsoft powerpoint nk ,wanadhani bila program hizo hakuna mbadala. usishangae kuona kila release ya ubuntu zina tofautiana default apps ,ni kwa sababu hiyo. karibuni linux world! kuna raha zake!!
 
Nahisi hukunielewa mkuu, simaanishi iwepo photoshop ya ubuntu nachomaanisha sijaona software yenye level ya mimi kuniwezesha kufanya yale ninayoweza kufanya kwenye photoshop na software nyingine za graphics za windows na mac.
Mimi situmii software kwa kukariri na kwamba kwenye windows ikiwepo my computer basi lazima kila platfoam iwe na my computer. Ubuntu iko poa lakini bado kuna uhaba wa softwares hasa zile softwares ambazo zinawezesha watu kuingiza ela zilizopo ni za kawaida
 
lakini kwenye software centre nimetafuta software yenye kiwango cha photoshop na illustrator sijapata napata za kawaida tu kiwango cha photo instrument.
Have you checked GIMP with all the plugin registry and brushes (et al)? What is that which cannot be done in GIMP?
With GIMP 2.8 Much can be done.....and it is simpler than photoshop.
 
I don't use Illustrator so no suggestion here!
 
Have you checked GIMP with all the plugin registry and brushes (et al)? What is that which cannot be done in GIMP?
With GIMP 2.8 Much can be done.....and it is simpler than photoshop.

Hahaha mkuu hiyo software nimeitumia sana tu niliona wanaisifia nikaiweka, ni nzuri kwanza inatumia nusu ya RAM compared to photoshop, iko fast ina options kibao, na easy kweli, user firendly but trust me acha ushabaki kuwa realistic haigusi kwa photoshop mkuu unless labda kama wewe ni more than too much yani ni bonge la wizard kwenye graphics to the extend hata mtu akupe microsoft paint utatengeneza picha kiwango cha photoshop kwasababu kuna watu wenye level hizo. Lakini otherwise bado haijafikia photoshop
 
me acha ushabaki kuwa realistic haigusi kwa photoshop mkuu unless labda kama wewe ni more than too much yani ni bonge la wizard kwenye graphics to the extend hata mtu akupe microsoft paint utatengeneza picha kiwango cha photoshop kwasababu kuna watu wenye level hizo. Lakini otherwise bado haijafikia photoshop
Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!

Hapo kwenye red ni insult to GIMP users and developers!
 
Mkuu, kwa kifupi ni kwamba hakuna program iliyopo window then Ubuntu hawana program kama hiyo.
Don't be overzealous! Some Linux programs are missing in Windows (eg Valgrind, Gnome DE, Nautilus et al). Some Programs are windows only and you can't find it on Linux (FL Studio: though LMMS might be promising, Visual Studio Debugger et al). So acknowledge this!

Kwenye ubuntu kuna programs zinazofanya kazi kama Adobe, iTune, IDM, nk. na ambazo zipo window na ubuntu zipo ni kama VLC, MOZILLA NA CHROME (Ambazo ni program zinazotoa huduma zake free kwa kila mtu). Hivyo ukienda software centre utakuta programs ambazo ni kama zile za window sema hizo ni free na zinauwezo sawa na uluzozizoea wewe.
Nope! Some are missing! Anything for Adobe Audition? Cubase SX?

Program za Kuuzwa kama Photoshop n.k hatuzitaki ubuntu maana lengo la ubuntu ni kila mtu anufaike na OS.
Guy I wonder what is wrong with you. You are being overzelous than even Canonical themselves. If Ubuntu thought that way they would be closing doors than opening.
Thank God they are clever enough. See the links below
Find more apps in Ubuntu Software Centre | Features | Ubuntu
Publish | Ubuntu App Developer

Kama kuna program huioni software centre update PC yako utaona wameongeza programs mpya daily.
As Said before Some are forever missing!

Mimi sionagi hata umuhimu wa WINE maana sina mpango na programs za window nimejizoesha za Ubuntu.
Ah! If I want to run FL Studio in Linux, how do I do without Wine? What If I need MS Publisher?
Its Good you did put "me" its your personal opinions you know

Enjoy,
BH
 
Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!

Hapo kwenye red ni insult to GIMP users and developers!

Hapana mkuu sijasema kwa ajili ya kuinsult GIMP, nilichomaanisha ni kwamba kuna watu ni ma expert hata umpe microsoft paint atafanya balaa niliwahi ona pic imekuwa posted kwenye blog flani sikumbuki imetengenezwa kwa ms paint yani hata unipe photoshop sijui illustrator siwezi tengeneza pic yenye kiwango kile na wengi tu hawawezi kwanza watu walianza kubishi kuwa hajatengenezwa na ms.
 
Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!

Hapo kwenye red ni insult to GIMP users and developers!

Hapana mkuu sijasema kwa ajili ya kuinsult GIMP, nilichomaanisha ni kwamba kuna watu ni ma expert hata umpe microsoft paint atafanya balaa niliwahi ona pic imekuwa posted kwenye blog flani sikumbuki imetengenezwa kwa ms paint yani hata unipe photoshop sijui illustrator siwezi tengeneza pic yenye kiwango kile na wengi tu hawawezi kwanza watu walianza kubishi kuwa hajatengenezwa na ms.
 
Hahaha mkuu hiyo software nimeitumia sana tu niliona wanaisifia nikaiweka, ni nzuri kwanza inatumia nusu ya RAM compared to photoshop, iko fast ina options kibao, na easy kweli, user firendly but trust me acha ushabaki kuwa realistic haigusi kwa photoshop mkuu unless labda kama wewe ni more than too much yani ni bonge la wizard kwenye graphics to the extend hata mtu akupe microsoft paint utatengeneza picha kiwango cha photoshop kwasababu kuna watu wenye level hizo. Lakini otherwise bado haijafikia photoshop

Hapo kwenye Bold, ni kitu gani ulitaka kufanya GIMP ikashindwa? Hakuna ushabiki hapa. Photoshop sio software ya kuidharau lakini sijaona significant difference. GIMP is user friendlier than complicated PS. Nina share na watu wengi hii opinion!

Welcome to religious debate wapendwa!

A gift post for both of you
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/369608-gimp-2-8-vs-photoshop-who-wins-new-post.html
 
mkuu si kwamba ubuntu sina ninayo na naitumia sana, lakini kwenye software centre nimetafuta software yenye kiwango cha photoshop na illustrator sijapata napata za kawaida tu kiwango cha photo instrument. nimeanza tumia ubuntu kitambo japo si sana lakini nimenza itumia toka 2008.
najua ni open source na free softwares lakini baado kuna softwares nyingi za maana kuzipata kwenye ubuntu platfoam ngumu ndiyo maana utakuta mtu anatumia ubuntu na window beside inakuwa aside unless labda kama mtumiaji ni mtu wa music, movies, internet na docs
It seems runs on Ubuntu with wine
CS6 runs as Silver app while CS5 runs at Gold. I would advice to go for CS5 than CS6
http://appdb.winehq.org/objectManager.php?sClass=application&iId=17

Illustrator seems to run as well (Only CS6). If you love to match version then Go for Both CS6s
http://appdb.winehq.org/objectManager.php?sClass=application&iId=20
 
Don't be overzealous! Some Linux programs are missing in Windows (eg Valgrind, Gnome DE, Nautilus et al). Some Programs are windows only and you can't find it on Linux (FL Studio: though LMMS might be promising, Visual Studio Debugger et al). So acknowledge this!

Nope! Some are missing! Anything for Adobe Audition? Cubase SX?

Guy I wonder what is wrong with you. You are being overzelous than even Canonical themselves. If Ubuntu thought that way they would be closing doors than opening.
Thank God they are clever enough. See the links below
Find more apps in Ubuntu Software Centre | Features | Ubuntu
Publish | Ubuntu App Developer

As Said before Some are forever missing!

Ah! If I want to run FL Studio in Linux, how do I do without Wine? What If I need MS Publisher?
Its Good you did put "me" its your personal opinions you know

Enjoy,
BH

I guess hujapata point yangu, NAMAANISHA KUWA SIO UTAKUTA PROGRAM KAMA HIYO NA YENYE JINA NA PROVIDER WALE WALE, PROVIDERS TOFAUTI, PROGRAMS TOFAURI BUT KAZI SAWA. PERIOD!
PEACE.
 
Mkuu nimependa jinsi ulivyyofafanua ! Tatizo watu wanadhani ukitaka kuandika kwenye ubuntu basi kuwe na kitu kama ubuntu word!! au ubuntu exell!

kila program ya ubuntu inatengenezwa na developer tofauti, inategemea yeye developer ataamua kuiita jina gani. ikitokea program moja imetengenezwa nadeveloper zaidi ya mmoja, labda mfano music player, basi program zao hushindanishwa kupitia reviews itakayoonekana ni bora ,inakuwa ni default app kwenye next release of ubuntu,watu walisha zoea ,window media player, microsoft powerpoint nk ,wanadhani bila program hizo hakuna mbadala. usishangae kuona kila release ya ubuntu zina tofautiana default apps ,ni kwa sababu hiyo. karibuni linux world! kuna raha zake!!

Bora wewe unayeielewa Ubuntu maana kuna wengine mpaka leo wabishi na hawaijui ubuntu, Mimi zamani nilikuwa najuta kwa nini niliondoa window, but now nimeona na kujifunza, kiasi kwamba naona programs zote za window ninazo ila katika format, providers tofauti mfano badala ya Photoshop natumia DarkTable Photo Workflow. Badala ya Jet Audio nina Clementine. I love my ubuntu especially kwenye Online Radio. Ubuntu ni nzuri kwa kusomea na wanafunzi maana ni free sina muda wa kutozwa pesa au kufikiria kutafuta Crackers.
Cool.
 
its more fun to try vigumu pia,, japokuwa ubuntu si ngumu, in next few years to come many large network organizations will be largely engaged in Unix/Linux systems.. if ur interested in getting better in networks communications, getting to know ubuntu is fairly well,,,
 
Software almost zote utakazo install kwenye Ubuntu zipo kwenye "Software Center" yao, na ni kweli inabidi uwe Na internet ili uweze kuzi install....Ila process ya kufanya hivyo ni simple sana
 
ni ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.

Kuna Software Center ambayo una install kwa click. Mara yako ya mwisho kutumia ubuntu ni lini
 
kaburu mdogo, mi ningekushauri u install ubuntu kama unataka kuijua maana duniani hamna kitu kigumu wa kitu kirahisi...Juhudi zako au Uvivu ndio utafanya uione ubuntu ngumu au rahisi.

Install Ubuntu, kama utakuwa kuna software za windows unazipenda sana install Wine au Virtual Machine kwenye ubuntu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom