Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

baada ya kuomba ushauri kama ubuntu na window 7 ni ipi bora na watu wengi kunishauri kuwa ubuntu ni bora zaidi!leo nimeweka ubuntu kwa msaada wa mtaalam lakini tatizo ni kuwa documents zangu zote nilizokuwa nimeweka kwenye disc d zimepotea na sina au sijui njia ya kuzipata na niuhimu sana jamani.tafadhali naomba mtu anaejua jinsi ya kuzipata anisadie maana sijitambui kwa hili lililonikuta na jinsi zilivyokuwa na umuhimu mkubwa kwangu.naomba sana msaada wa hili na kama kuna mtaalam anaweza nimfuate anisaidie
 
cha msing ni kuangalia unahtaj window kwamatumiz gan nyngne blah blah huwezikufananisha kifo na ucngz ubuntu haiwez mfkia winos kwa namna yeyote ile. labda u frii from virus tu
 
cha msing ni kuangalia unahtaj window kwamatumiz gan nyngne blah blah huwezikufananisha kifo na ucngz ubuntu haiwez mfkia winos kwa namna yeyote ile. labda u frii from virus tu

Mwambie mzee Windows ni noma. Penye mzoga ndipo hukusanyika tai sasa kama kwenye Ubuntu hakuna tai wengi utaitarget Ubuntu kwa virus ukitafuta nini. Virus wako targeted to windows sababu windows iko na watumiaji wengi.
 
mkuu SuperImpressor pamoja na hayo uliyoyasema Kiboko ya Os ni Ubuntu

mkuu mimi nimeshatumia karibu Windows OS zote kuanzia Windows 98 Mpaka kufikia hii leo Windows 8 lşakni matatizo kila

siku hayaishi haswa hawa Vijidudu vya Virus,Spyware,Trojans,Worm na Malware yaani Windows OS kila siku uwe

muangalifu kutumia lakini kitu kama Ubuntu ndio kipo Safe unatumia utakavyo hakuanwoga wa

Ma:Virus,Spyware,Malwarewala Trojans wala Ku Corupt Register unakwenda utakavyo hakunawasiwasi njoo kaka

kwenyeUbuntu na kuna kitu kinautwa Zorin Os hiyo kitu mwisho wa yote angalia picha zake hapo chini.

images

Screenshot42.png

Hi kitu haina mambo ya Kuingia Virus wala nini na ipo bure pasipo na malipo ukita kui download bonyeza hapa Zorin OS - Free
 
Last edited by a moderator:

kwa jinsi ubuntu ilivyonitenda sihitaji tena os nyingine.ni nzuri lakini dah kila kitu hewani.nimepewa software ya kuweza kuweka progarm bila kuwa hewani nayo inagoma.matatizo juu ya shida.cd na dvd hazisomi shida nyingine hiyo.ngoja nijifanye mjinga tu maana nishakua mjinga tayari kwa kujaribu vitu vipya
 
Mwisho wa siku nilijua itakusumbua ubuntu anatumia mtu mwenye uelewa kidogo wa haya mambo maana kuna software nyingine hata kuziinstall huwezi. Mimi laiti ningeweza pata softwares kama illustrator, photoshop, premier pro sony vegas za ubuntu ningeamia kabisa ubuntu kwakuwa nikitumia wine bottler still software hazi run smoothly kama navyotaka.
 
yaaani nashukuru sana,ngoja nitaijaribu muda huu mkuu wangu.kweli kwa ubuntu imenifunsisha kuwa akili za kuambiwa..................
acha uoga. ubuntu haijakosea wewe hukufuata maelekezo. kufanya setup ya os yeyote inachukua muda.
ukisoma post mojawapo hapo juu inaelezea installation process in Ubuntu. on top of that kuna codec ambazo kwa sababu ya licence incompatibility don't come pre installed. they are there in repositories. so start video and ht will install it for you. you need internet connection.
hiyo cd ni video au data? umejaribu vlc?
 
cha msing ni kuangalia unahtaj window kwamatumiz gan nyngne blah blah huwezikufananisha kifo na ucngz ubuntu haiwez mfkia winos kwa namna yeyote ile. labda u frii from virus tu

another windows obsessed guy!
by the way how do i run linux files on windows?
windows is good Ubuntu is gooder
 
Mwambie mzee Windows ni noma. Penye mzoga ndipo hukusanyika tai sasa kama kwenye Ubuntu hakuna tai wengi utaitarget Ubuntu kwa virus ukitafuta nini. Virus wako targeted to windows sababu windows iko na watumiaji wengi.

Mkuu usiwe mwoga wa mabadiliko! Ni kweli window tuliipenda sana, lakini security wise linux system ni best ,kwa taarifa tu Window ni closed system ,yaani microsoft anaajiri wataalamu kwa ajili ya kutengenzea os,Ubuntu ni open system os ,yaani ni free kwa developer yeyote kutengeneza programs au kuboresha maeneo dhaifu kwenye os ,kama utakuwa unafatilia system error zikijitokeza ,huwa hazichukui muda .jamaa wanarelease correction patches kama updates . Utafahamu pia ubuntu wana release version mpya kila baada ya miezi 6 , kitu ambacho window hawezi .Ubuntu imejipatia umaarufu sehemu ambazo window ilishindwa kama ifuatavyo;
1:Gharama; ni free os kwa hiyo hakuna mtu atakuuliza genuine copy
2: Wepesi ; window 8 kwa mfano huwezi kuweka kwenye p4 unless ufanye serious ram and bios upgrading ,but your 12:10 ubuntu will easly fit in 1gb ram p3!
3:Stability , mambo ya this program has stopped responding ni adimu sana .na ikitokea usually ina kuwa ni specific program i.e, hai affect program zote kama ni kazi
utaendelea hata kama kuna program inasumbua .kimsingi hakuna "refresh "option kwenye ubuntu kwa sababu hiyo!
4.apps zote kwenye ubuntu lazima kwanza ziwe na reliable sourse code na kuna option ya kukataa source ambazo hazitambuliki, Ni ngumu sana kuwa na program ambayo sourse yake haipo kwenye list yako ya sourse code. Na unaweza delete software source ambazo unaona hazikufai. ndio maana wanasema ni virus free os.

Lakini pia tukumbuke window sio free os ,na wengi wetu hatutambuliki kama wateja wa microsoft ,bali wezi . Hivyo hatuna nafasi ya kutoa changamoto za maboresho kwenye window kama ambavyo tungeweza kutoa kwenye ubuntu. UBUNTU south african zulu = ubinadamu ,utu .will never be sold as system os!
 
WINE software

mkuu nimejaribu ku downlod wine software,wakati nataka kuanza ku downlod nikakuta kuna wine 1.5 ambayo ndo new na 1.4 ya zamani nikichagua hii moja wapo inaniambia "this link needs to be openedwith application.send to:"hapo pamenishinda kujua ni application gani natakiwa kutumia.naomba msaada wako kwa mtu anaejua hiyo application
 
the fact ni kwamba not every one can use ubuntu, ni rahisi mtu wa windows kutumia mac kuliko ubuntu. Watu wengi inawashinda despite all the positive effects ilizonazo
 
mkuu nimejaribu ku downlod wine software,wakati nataka kuanza ku downlod nikakuta kuna wine 1.5 ambayo ndo new na 1.4 ya zamani nikichagua hii moja wapo inaniambia "this link needs to be openedwith application.send to:"hapo pamenishinda kujua ni application gani natakiwa kutumia.naomba msaada wako kwa mtu anaejua hiyo application
Stop thinking in terms of Windows that is NOT ANOTHER WINDOWS. It is Linux! Once you get that things becomes simpler.
Don't make Linux operate as if it is windows. It will never, because it is not windows!!

With that in your head don't think in Linux you must download setup.exe and run as admin....No! Open Ubuntu software Center, type software you want in the search box when it comes select it and click install....that simple!

Don't complicate things as if you are in windows!
 
nimekuelewa mkuu ila hii software niliambiwa ni nzuri kama mtu unataka kuwekavprogam zako mwenyewe kama hutaki kutumiabza ubuntu.na hii nimeiweka ikanambia haipatikani kwenye ubuntu software center
 
nimekuelewa mkuu ila hii software niliambiwa ni nzuri kama mtu unataka kuwekavprogam zako mwenyewe kama hutaki kutumiabza ubuntu.na hii nimeiweka ikanambia haipatikani kwenye ubuntu software center
Kujifunza yataka Muda. Hiyo software gani ambayo haipo? Anzisha thread mpya ila tu heading isiwe yamenikuta blah blah. Weka kitu intelligible kama;
How to Install software XYZ in Ubuntu
 
Kujifunza yataka Muda. Hiyo software gani ambayo haipo? Anzisha thread mpya ila tu heading isiwe yamenikuta blah blah. Weka kitu intelligible kama;
How to Install software XYZ in Ubuntu

asante kwa ushauri mzuri mkuu
samahani sana kwa kutokuweka jina la hiyo software maana nilijua waijua toka mwanzo.software yenyewe ni wine software ambayo ina install program nyingine ndani ya ubuntu na wakati wa kui install inakuambia au kukuelekeza ubuntu software center na huko unapofungua wanakuambia huko haipo sasa ndo nilikua naomba msaada zaidi
 
KUsema ukweli Ubuntu ni shida kama umezoea Window na ni rahisi kama umezoea Mac. Ila ni rahisi maana kuna webs za kukupa maelekezo kama http://omgubuntu.co.uk

I love ubuntu, tangu niitumie mpaka leo sijapata tatizo na ninaipenda katika kusomea maana ipo faster sana zaidi ya window. Pia sina wasiwasi juu ya virus maana ni VIRUS FREE. Na ina muonekano mzuri zaidi ya Mac kama unajua Commands zake tu.

HII NI SCREENSHOT YANGU YA UBUNTU 12.10.
179520_316027558512838_1736450169_n.jpg

I LOVE UBUNTU BECAUSE MIMI NAPENDA HUMANITY, AND NAAMINI KILA MTU ANA HAKI YA KUENJOY TEKNOLOJIA, HIVYO UBUNTU IS FREE FOR EVERYONE. PIA NI FALSAFA YA MUAFRIKA.
 
Stop thinking in terms of Windows that is NOT ANOTHER WINDOWS. It is Linux! Once you get that things becomes simpler. Don't make Linux operate as if it is windows. It will never, because it is not windows!! With that in your head don't think in Linux you must download setup.exe and run as admin....No! Open Ubuntu software Center, type software you want in the search box when it comes select it and click install....that simple! Don't complicate things as if you are in windows!
Watumiaji wa WINDOWS wana taabu sana kwa kweli. Tell them.
 
Mwambie mzee Windows ni noma. Penye mzoga ndipo hukusanyika tai sasa kama kwenye Ubuntu hakuna tai wengi utaitarget Ubuntu kwa virus ukitafuta nini. Virus wako targeted to windows sababu windows iko na watumiaji wengi.

Ubuntu haina virus sio kwa kuwa ina watumiaji wachache. NOOOOOOO
When compared to windows ubuntu or other linux distro's are 99% more secure because linux will not recognize win32 executable's.

Kwenye ubuntu Virus hana uwezo wowote na hafanyi chochote hivyo ni secure kwenye Hard Disk Life. Sio kwamba virus hawapo, wapo ila Ubuntu ni Virus free, Virus unamsoma kama file na unaweza kumfuta kama unavyofuta file. Mfano, chukua flash yenye virus iweke window halafu uifungue, hutaona virus utaona files zako tu, ila ukiiweka kwenye ubuntu unaona virus waliopo kama walivyo na unawafuta kama walivyo. Ni kama OS iliyotengenezwa na Antivirus ndani yake, kama antivirus yako ilivyo ndio ubuntu ilivyo.
 
Back
Top Bottom