kiukweli nimempa mtu anisaidie kuiweka ubuntu kwenye pc yangu akanambia anasikia kuwa ukitaka kuweka programme kwenye ubuntu zinakataa au nyingine mpama uwe online ndo ziweze kuwekwa huko,waungwana naomba mnishauri au kunielewesha njia mbadala ya kuweka hizo programme
program nyingi za ubuntu zinahitaji uwe online uweke source za kuinstall n.k lakini unaweza kutumia njia mbadala tumia hii software inaitwa wine WineHQ - Run Windows applications on Linux, BSD, Solaris and Mac OS X ambayo utainstall kwa mara ya kwanza ukiwa online then baada ya hapo utaweza kufanya installation ya windows application kama Microsoft Office n.k ukiwa offline