new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,685
Wadau, naish nyumba ya kupanga hapa dsm, natafuta used portable air condition kwa ajil ya matumizi yangu nyumban hasa wakat wa kulala, ila pia ninaomba mwenye ufahamu wa hizi mashine anipe dondoo juu ya efficiency yake na pia ulaji wake wa umeme ukizingatia nimepanga. Lakin pia ngependa pata elimu juu namna ya ku-mantain ili kuifanya idumu, lakin pia namna ya kupunguza gharama wakat ntapokua naitumia..
Nataraji kupata ushirikiano wenu wapendwa.. Asante... Pia kwa mawasiliano napatikana 0719058458
Nataraji kupata ushirikiano wenu wapendwa.. Asante... Pia kwa mawasiliano napatikana 0719058458