Naomba CV ya Rais wa UDSM Jeremia

Naomba CV ya Rais wa UDSM Jeremia

Enzi zile tunasoma udsm ilikua na generations za watu wa aina nyingi sana lakin wote walifanana sana kitu kimoja, wote walikua na uwezo mkubwa sana "upstairs". Hakukuwa na jamii za watu flan wajinga jinga tu, usingeweza kumkuta mtu hana content KUBWA KICHWANI.


siku hiz kuna watu hamna kitu kichwan lakin nao wako udsm wanasoma, mfano ni huyu ndugu yetu swali alilouliza.... eti udsm rais ni nani? Yaan udsm nako cku hz kuna rais!!!, yaan hili jukwaa anadhan kila mtu yuko udsm.

Hata watu waliofaa wasome Amazon college au zoom technical college lakin nao wapo pale udsm maeneo ya coet wanapiga Civil engeneering.


Elimu yako haijakusaidia zaidi ya kukufanya mjinga. Ninawasiwasi sana na shahada zako. Zaweza kuwa kama za bashit. Wewe ni zaidi ya phd za waleee
 
Back
Top Bottom