Naomba CV ya Rais wa UDSM Jeremia

Chuo changu cha UDSM nasikitika nankujiuliza siku hizi kinadaili vituko gani jamani hivi...
Sasa kama kwa uelewa mdogo tu unashindwa kujua kazi ya hii social site utaelewa kweli somo la MT 100 pale CoICT
 
Swali ambalo nilianza kujiuliza ni: "Ina maana siku hizi cheo cha Vice Chancellor kimebadilishwa na kuitwa President na kwamba ameteuliwa new VC/President!!!

Kumbe mtoto mmoja anatafuta kufahamu mtoto mwenzake alikuwa anafanya utukutu gani wakati yupo sekondari!!!
 
Enzi zile tunasoma udsm ilikua na generations za watu wa aina nyingi sana lakin wote walifanana sana kitu kimoja, wote walikua na uwezo mkubwa sana "upstairs". Hakukuwa na jamii za watu flan wajinga jinga tu, usingeweza kumkuta mtu hana content KUBWA KICHWANI.

siku hiz kuna watu hamna kitu kichwan lakin nao wako udsm wanasoma, mfano ni huyu ndugu yetu swali alilouliza.... eti udsm rais ni nani? Yaan udsm nako cku hz kuna rais!!!, yaan hili jukwaa anadhan kila mtu yuko udsm.

Hata watu waliofaa wasome Amazon college au zoom technical college lakin nao wapo pale udsm maeneo ya coet wanapiga Civil engeneering.
 
Nina mashaka kwamba haujawahi kusoma UDSM ama chuo chochote Tanzania. Sababu;
1. Hujui kuandika.
2. Una chuki na dharau zisizo na msingi.
3. Unajiona una akili sana kuzidi binadamu wengine(wanaUDSM hatuko hivyo), masikini hujatambua hata kama upo nje kabisa ya mada. Yaani umeisoma post ila hujaielewa.

Kama ulisoma UDSM basi katika hiyo generation yenu wewe ulikuwa ni kati ya wale wachache wenye "content" ndogo zaidi kichwani, wakabahatika kusoma UDSM kwa maana hujui hata kiongozi mkubwa wa serikali ya wanafunzi (DARUSO) anaitwa Rais.

Wewe sio mfano mwema wa wanaUDSM. Usitudhalilishe.

Solidarity Forever!
 
Back
Top Bottom