Naomba connection ya ajira Canada

Mkuu Boli linatembea tueleze ulipataje work permit bila kuwa na ajira huko mambele? Na umefikaje hapo kannada? Je ulizamia? Ulipata mwaliko? Ni mwanafunzi? Au umepata sponsor sasa amekuacha kwenye mataa
Yani wabongo ndo tatizo letu maswali juu ya maswali , unaanza kupata w/Permitt kwanza ndo utafute kazi. Nimeingia kwa njia halali tu, wewe lete connection za ajira huku kunajika tu ukiamua.
 
Jishikishe na kazi za kusave chips kabab nyama nk kwa wahindi mitaani hapo jioni wanatoa dollar 15 kwa saa,nenda mahotelini kaombe kazi za dish worsher,au bandarini kwenye mameli,au kwenye kazi za ujenzi
 
Tunaomba iyo link mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…