Naomba connection ya ajira Canada

Kuna nchi hawazamii kihivyo unavyofikilia. Labda kama umelala ukaota upo Canada. Kwa anaejua maana ya Work permit, akasoma ulichoandika,haviendani. Kwa hiyo, mada yako, ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
Ila kama unatamani tu kwenda,ntakupa link, siku zikitokea kazi,maombi yako yanapitiwa,ukikidhi vigezo,utachukuliwa na kugharamiwa kila kitu. Kikubwa tu usiwe mzembe.
Hiyo permit hutolewa tu unapokuwa umepata kazi na mwajili anajulikana,na huwezi acha kazi kijinga hivo eti utakaa. Huko siyo Bongo. Au ulitaka tujue tu kwamba unapandaga ndege๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ