Naomba connection kupata suppliers kutoka Dubai

IMG_20210728_224839.jpg


Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
 
Ukiagiza kwa hao Silent ocean, kwa uzoefu wangu, hiyo bei ya 400$ per CBM inajumuisha kodi na wao ndio wanafanya clearance zote za bandarini na mzigo utaenda kuuchukulia kwenye godown zao chang'ombe. So hakuna charges zingine tena.


Haijakishi mzigo ni wa thamani gani, ila charges zao zina depend na CBM/ukubwa wa mzigo.

Hiyo ni kulingana na uzoefu wangu wa kuagiza mizigo kwa kuwatumia hao Silent ocean.

duh ni hela ndefu sana
 
Back
Top Bottom