Naomba connection kupata suppliers kutoka Dubai

Kwa ndege huwa natumia Unique air cargo japo mizigo huwa inachelewa hadi mwezi, naomba uzoefu wa DHL na FedEx hasa kwenye issue ya bei zao per kg
Mkuu naomba unisaidie namba zako tafadhari, kama hautajali.
 
Habarini ndugu.

Nimekuwa nikiagiza vitu mara kadhaa kutoka China hasa kwa kutumia Alibaba, 1688 na Taobao.

Ila kwa sasa nahitaji kupata connection pia ya namna ya kupata suppliers wa kutoka Dubai, kwa hivyo ndugu zangu, naomba yeyote mwenye connection anipe ABC za namna ya kutimiza jambo hili.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Taobao kichina kingi, tusaidiane hapa kwenye kuagiza kupitia hii site
 
Raha ya
Hatuwezi kuweka maongezi na stori zote hapa itakuwa ni kuchafua uzi,sio kwa ubaya

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
biashara ni kufanya maongezi yote hewani bei ya bidhaa na namna ya usafirishaji Kisha baada ya hapo contact na masuala ya miamala ndio iende pm , lakini hata bei ya simu nae mpaka mtu aje pm unaficha nini kwa sababu hii itanaweza ikakupa wewe mteja mwingine kupitia maelezo yako mazuri na ya kina
 
Tatizo kila mteja anataka aina tofauti ya simu aipendayo,machaguo hayawezi kufanana ndio maana naona bora kupeana namba za wasap ili mtu ajiachie kuuliza maswali yote ayatakayo bila kujibana,maana usifikirie mteja atakuuliza swali moja tu aridhike

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Habarini ndugu.

Nimekuwa nikiagiza vitu mara kadhaa kutoka China hasa kwa kutumia Alibaba, 1688 na Taobao.

Ila kwa sasa nahitaji kupata connection pia ya namna ya kupata suppliers wa kutoka Dubai, kwa hivyo ndugu zangu, naomba yeyote mwenye connection anipe ABC za namna ya kutimiza jambo hili.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Mkuu unawezaje kufanya manunuzi 1688 maana naona ni kichina tu.
 
Back
Top Bottom