Naomba ban kwenye jukwaa la kikubwa

Invisible; kesho tunaanza Kwaresma, hivyo naomba uninyime access kwenye jukwaa lile lenye matusi, naogopa mipicha ile itanidhambisha!

Natanguliza shukrani!

Piga picha ya utupu wako fasta,na uiattach kwenye thread yako...

Vinginevyo kwaresma yako itakula kwako...
 
Invisible; kesho tunaanza Kwaresma, hivyo naomba uninyime access kwenye jukwaa lile lenye matusi, naogopa mipicha ile itanidhambisha!

Natanguliza shukrani!

Sasa ban ya jukwaa la wakubwa unakuja kuiombea huku chit-chat?!!
MAPROSOO.
 
Sasa ban ya jukwaa la wakubwa unakuja kuiombea huku chit-chat?!!
MAPROSOO.
"Ukitaka kuhubiri dini usihubiri kwenye nyumba ya ibada kwani kule tayari "wameokoka".
Kaunga was/is right kuomba BAN huku ambako wengi hawaingii huko mambo ya wakubwa.
:focus:Kaunga, huna haja ya kuomba BAN, wewe ingia tu kule na rosari yako mkononi, unaangalia mambo huku unangama na kusali. Nia yako ndiyo inayoangaliwa.
 
Back
Top Bottom