Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Licha ya nguo ndefu achukue hatua za dhati pia kuipenda hio miguu iwe nanhali nzuri kama uso wakeUkiwa unaongea nae macho yanaangalia sura au miguu? Ukimpenda mshauri avae nguo ndefu.
Bora umesema mana watu wanaangalia sura tuKuna sehemu nliona wanasema true test ya urembo/usafi wa mwanamke ni miguu yake,usafi kwa ujumla, ngozi ilivo na kucha
Wadada ambao mnasahau miguu yenu jirekebisheni jmn unakuta mtu katakata usoni miguuni ana magaga nyayo zimechanika inasikitisha sn,ukimlinganisha na mwanaume wake utashangaa,baadhi ya wanaume wana miguu iliotunzwa vizuri kuliko wanawake, aibuuu
Kwa hyo ni kukimbia tu hakuna namnamabaka ni dalili za ukoma
Mtu akijichubua mguu unakua na mabakabaka??Wengine wanajichubua mkuu,usikariri.
Makovu ni kitu cha kawaida..Hayo mabska ndo siyaelewi. Labda kama usemavyo mtu akijichubua inawezekana hayo mabakamabaka yakatokea. Mwingine unakuta mabakamabaka hadi kwenye mapaja.Jaman mabaka mengine yanatokana na utundu walivokuwa wadogo,walikimbizana na ile michezo ya kitoto wanaumia na vidonda au michubuko ikipona wengine hubak na alama..Kibaya zaid hamjui kutofautisha mabaka,makovu na alama za kuumia.Ukiona makovu maybe aliumia kama vile kuchanika na kukipona ndo kunabaki kovu,ukiona alama jua aliumia labda kawaida akatokwa na kidonda ndo kilivopona kikaacha alama nyeusi,ukiona hayo mabaka labda ana ugonjwa wa ngozi..Hata watu wenye sickle cell anaemia wanatokwaga na mabaka...Jifunzeni kutofautisha Na pia kaka kama hujampenda huyo dada nenda kimya tu kwani hii mialama miguuni wengine utoton tumeishi maisha ya uswahili magumu plus vipigo vya mama wa kambo...Hatukupenda.
Mdharau mwanamke asiejikubali kwa kujichubua mwisho anakuwa na miguu meupee but alama za kuumia hazitoki ndo anakuwq ka ndizi mzuzu za kubanika!ni hayo tu
Wewe Kete Ngumu hujui,hayo makitu ndio turbo charge ya MAUTAMU yaani joto asilia mle ndani ya sandwich.Hakuna kitu kinanikata hamu kama mipasuko/michirizi hasa ile myekundu kiunoni nyuma kwenye jointi mapajani.
Aggyjay nawe umo daah? yaani kama daktari wa mifugo vile au unjionaje? i mean ki purply purply.Jaman mabaka mengine yanatokana na utundu walivokuwa wadogo,walikimbizana na ile michezo ya kitoto wanaumia na vidonda au michubuko ikipona wengine hubak na alama..Kibaya zaid hamjui kutofautisha mabaka,makovu na alama za kuumia.Ukiona makovu maybe aliumia kama vile kuchanika na kukipona ndo kunabaki kovu,ukiona alama jua aliumia labda kawaida akatokwa na kidonda ndo kilivopona kikaacha alama nyeusi,ukiona hayo mabaka labda ana ugonjwa wa ngozi..Hata watu wenye sickle cell anaemia wanatokwaga na mabaka...Jifunzeni kutofautisha Na pia kaka kama hujampenda huyo dada nenda kimya tu kwani hii mialama miguuni wengine utoton tumeishi maisha ya uswahili magumu plus vipigo vya mama wa kambo...Hatukupenda.
Mdharau mwanamke asiejikubali kwa kujichubua mwisho anakuwa na miguu meupee but alama za kuumia hazitoki ndo anakuwq ka ndizi mzuzu za kubanika!ni hayo tu