Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

acha hizo sijawahi mzimisha mtu na kumtumia hivyo sina experience
Experience ninayoizungumzia sio kama ulivyosema wewe namaanisha ya kimauhusiano na ukizingatia wewe ni mwanamke ushauri upi unipe ili mpenzi wangu angalau anielewe mpaka sasa sijaongea nae kabisa na wala hata kupima sijaenda
 
Yaani we bwege kweli,au umekuja kuchangamsha kijiwe yaani tangu umeleta uzi masaa sita yanapita bado unambwelambwela?we huwazi masuala ya afya yako unawaza demu utamwambia nini,je ukipata UKIMWI utamwambia nini akuelewe?
Acha ujinga chukua hatua za haraka kuhusu suala la afya,wadau wamekushauri hapo juu we bado unasema utamwambia nini demu wako?
 
Kuwa mwanaume kubadili mboga kawaida kikubwa usiwe umepata magonjwa....wala usimwambie kitu chochote au kujieleza chochote be a man
 
Mkuu sijakuelewa?
Inamaana ujakamtwa ila unataka ukajisemelee kwa mpenz wako kwamba umechepuka?

Akili za wapi hizi?

Uliona wapi muibaji anaitwa mwizi bila ya kukamatwa,

Nikutoe hofu,
Wee mpk Sasa Ni mtu Safi kabisa maana hujakatwa na kidhibiti.

Tena relax na ondoa hofu kabisa[emoji4]
Issue hapa nitamuambiaje mpenzi wangu anielewe kumbuka sijalala home na nimekuta missed call 4 asubuhi na mchana kanipigia Tena sijapokea changamoto inaanzia hapa
 
Kamwe Mwanaume,
Usikubali kukiri kosa la kuchepuka hata ukamatwe uko Katikati ya mapaja ya mwanamke
Sio mwanaume tu hata mimi leo siwezi kukiri kuchepuka,labda iwe red handed na penyewe naweza kataa nkisema ulifananisha sura
 
Ukweli utakuweka huru ila utabaki donda kwa kwa mwenzako, tafakari njia sahihi ya kulitatua hili pasipo kuumiza hisia za mwenzako nafsi yako haikupenda so ni kukaa kimya tu
Kumbuka sikulala home na nimekuta missed call zake 4 na mchana akanipigia sijapokea sijui hatachakumwambia so hapa mwamba nifanyaje
 
Issue hapa nitamuambiaje mpenzi wangu anielewe kumbuka sijalala home na nimekuta missed call 4 asubuhi na mchana kanipigia Tena sijapokea changamoto inaanzia hapa
Ila tunakoelekea ni pabaya hivi kweli mwanaume unayetegemea kuitwa kichwa cha familia,swala dogo kama hili linakutoa jasho?
,wakati mwingine nyie ndo mnafanya mdharauliwe imagine ishu ndogo kama hii mpaka sasa hajui afanye nini .Vipi kuhusu kesi kubwakubwa?
 
Kuwa mwanaume kubadili mboga kawaida kikubwa usiwe umepata magonjwa....wala usimwambie kitu chochote au kujieleza chochote be a man
Hapo chakumwambia ndio changamoto kumbuka sijalala home nimekuta missed 4 zake kwenye simu yangu na bado kanipigia mchana sijapokea unadhani nitamwambia nini anielewe?
 
Kumchukua huyo dada kumpeleka kwenye kituo Cha afya hapa ndio changamoto
Nenda mwenyewe ongea na mtoa huduma.
Kuna fomu utajaza utaenda kuchukua dozi yako. Ila lazima upime kwanza.

Kumbuka unavyochelewa na asilimia za kutokuathirika zinapungua. Ni ndani ya masaa 72 lakini ukiwahi ndio uwezekano wa kuwa salama ni mkubwa zaidi ukichelewa hata kama ni ndani ya hayo masaa 72.
 
Hapo chakumwambia ndio changamoto kumbuka sijalala home nimekuta missed 4 zake kwenye simu yangu na bado kanipigia mchana sijapokea unadhani nitamwambia nini anielewe?
Tunaelewa sana labda ujichanganye....mwambie sor nilitingwa na mambo mengi simu hata sikuishika...sor love,kama ulipata waswas.kuwa serious siyo una wengee.ukiona anakaza we tulia kama umekasirika kwa kutokukuelewa
 
Ila tunakoelekea ni pabaya hivi kweli mwanaume unayetegemea kuitwa kichwa cha familia,swala dogo kama hili linakutoa jasho?
,wakati mwingine nyie ndo mnafanya mdharauliwe imagine ishu ndogo kama hii mpaka sasa hajui afanye nini .Vipi kuhusu kesi kubwakubwa?
Sina experience Sana ya kukaa na mwanamke pamoja mimi niko kwenye 20+ na huyo sio kwamba nimemuoa ila ni mpenzi ninayeishi nae kama mke na Mume kwahiyo bidada nivumilie ndio tunajifunza taratibutaratibu
 
Hapo chakumwambia ndio changamoto kumbuka sijalala home nimekuta missed 4 zake kwenye simu yangu na bado kanipigia mchana sijapokea unadhani nitamwambia nini anielewe?
Ila wewe ni mzito wa kuchangamsha akili sana.
Nenda hospital ya private mpe doctor hata buku 20. Wanakupa kitanda unalala unampigia mke wako unamwambia njoo hosp fulani, akija anaambiwa ulipelekwa hapo jana ukiwa ume zimia yaani hauna fahamu.

Au hata hela hauna?
 
Kumbuka sikulala home na nimekuta missed call zake 4 na mchana akanipigia sijapokea sijui hatachakumwambia so hapa mwamba nifanyaje
Ulidondosha simu, na mtu akiokota imeita sana ulifanya jitihada mpaka ukaipata late sana ila uongo dhambi[emoji1787]
 
Unatengeneza tatizo tu, unalikuza kwa hizo siku unazomeza pep, then ukimaliza kumeza na tatizo linaisha maisha yanasonga.
Yeah tena anaweza hata akajing'ata mkononi akamdanganya mke wake alivamiwa na vibaka akiwa njiani kurudi nyumbani ile kupambana akampiga huyo kibaka kabali, basi huyo kibaka akamng'ata sasa inabidi aanze hiyo dozi maana hajui kama huyo kibaka alikuwa mzima au lah.

Anaanza zake dozi huku akipikiwa vizuri, maana nasikia zina njaa balaa[emoji23]
 
Nenda mwenyewe ongea na mtoa huduma.
Kuna fomu utajaza utaenda kuchukua dozi yako. Ila lazima upime kwanza.

Kumbuka unavyochelewa na asilimia za kutokuathirika zinapungua. Ni ndani ya masaa 72 lakini ukiwahi ndio uwezekano wa kuwa salama ni mkubwa zaidi ukichelewa hata kama ni ndani ya hayo masaa 72.
Asante dada yangu kwa ushauri wako murua si wengine hatuna experience kubwa ya kukaa na mwanamke na ukizingatia niko kwenye umri wa 20+ changamoto zingine ningeni kwangu usinichukulie vibaya Sana
 
Asante dada yangu kwa ushauri wako murua si wengine hatuna experience kubwa ya kukaa na mwanamke na ukizingatia niko kwenye umri wa 20+ changamoto zingine ningeni kwangu usinichukulie vibaya Sana
20+ ilibidi ujue kila kitu.
Mbona hata mimi ni 20+ au ulisoma seminary wewe?
 
Back
Top Bottom