umeona eh!Bongo bwana!! Comedy nyiingi kila sehemu!
kwahiyo nimekusaidia kulifahamu hili kwa mara yako ya kwanza.This is the most weird thinking I have ever heard!!!!
ndio ninao.Una wivu
Umeona eh! bora nifwate hii style yako.Washawasha
Mimi hata nikimtembelea sista silali kwake...
Naenda zangu guest/hotel napumzika huko. Manake lijamaa linaweza kuamua kumkunja usiku huo mpaka chumbani kwako ukasikia sista anavohenyeshwa!...
sawa nitafanya hivyo.Acha kumuwazia dada yako mabaya, think positive.
Ungemkata makofi.hahahahahaaMimi nakumbukaga nilifika kwa dada weekend......shemeji akanitoa out.....tukiwa bar nakumuka zamani kulikuaga na vipombe vinaitwa TYSON, kama viroba hivi..............tukiwa tumekaa kaunta akamwambia jamaa ......nipe dawa kaka....yule jamaa akachukua Tyson tatu akavikata akamwekea kwenye glass.........mimi niliagiza beer........shemeji akaniuliza , Shem, ushajaribu hii ( Tyson)....nikamjibu hapana shem........akanijibu....Hii ni Blaaa....unasugua mashine usiku kucha.......namsuguaga mpaka inakauka.........alafu inakua tena wet...alafu inakauka tena.
Dah! ila huyo shemeji ni kavu kuliko maelezo,utani gani huo?Ha ha ha!
Sitaki kusikia kuwa dadangu anasuguliwa.. mpaka ikauke, damn!
Silali kwa dada hata siku moja...
dah! inakuwa bonge la noma.bora ukute wanagombana usiombe nyumba wanayokaa haina ceilng bord usiku utatamani utoke nduki wakati dada yako anapigishwa gwaride na shemeji yako na kila kitu unakisikia
sam taimu huwa nafanya hivi.Wasiliana naye kwenye simu kwanza ndo uende mia.
ni kweli kaka.uoga wako tu
itakuwa kama tumeachwa wote.Washawasha si ndo afadhali lakini umsaidie dada yako kuhama au...
sijawahi kuwatembelea na wala sijui dada yangu anamuhendo vipi mwanaume kwa kuwa sina sababu ya kunifanya nilijue hilo kwa kuwa sisi ni wastaarabu.
Nalog off
ndio wanapewa talaka pale wanapokuwa hawakubaliani na tabia za mashwaini walioolewa nao.Wastaarabu wanapigwa talaka........
Bora ufanye hivyo.i see
Nalog off.
kha! uchi mbona hata kuku anao mie hilo wala siliogopi.
Nalog off