Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
- #81
Dah! pole kwa kutukanwa na dada yako.
Nalog off
Nalog off
Dah! pole kwa kutukanwa na dada yako.
Nalog off
Mimi nakumbukaga nilifika kwa dada weekend......shemeji akanitoa out.....tukiwa bar nakumuka zamani kulikuaga na vipombe vinaitwa TYSON, kama viroba hivi..............tukiwa tumekaa kaunta akamwambia jamaa ......nipe dawa kaka....yule jamaa akachukua Tyson tatu akavikata akamwekea kwenye glass.........mimi niliagiza beer........shemeji akaniuliza , Shem, ushajaribu hii ( Tyson)....nikamjibu hapana shem........akanijibu....Hii ni Blaaa....unasugua mashine usiku kucha.......namsuguaga mpaka inakauka.........alafu inakua tena wet...alafu inakauka tena.
Mm yalinikuta pia!
Shem na sister wanaacha chumba chao wanakuja sebuleni kufanya mapenzi na sebuleni ni karibu sana na chumba ninacholala kwa hiyo nikawa nasikia kila kitu!
Tena kuna wakati wafanyapo mapenzi shem akawa anamuambia dada atutukane sie na dada kwa sauti ya mapenzi makali akawa anatii!Hasa mm nikawa natukanwa kila alfajiri lol!
Niliondoka haraka kurudi kijijini!
cc DEMBA

kwahiyo nimekusaidia kulifahamu hili kwa mara yako ya kwanza.
Nalog off
Sawa nashukuru kwa majibu yako.No u did not! You are weird! You are odd!!
Kama mambo yenyewe ndio hivi bora usirudi.Asante! Lkn wala siwalaumu kwani kama ujuavyo mzuka wa mapenzi ukipanda unaweza tamko lolote lile!
Actual najilaumu mm kwa kwenda kukaa kwa dada yangu!Sirudii tena
cc Washawasha DEMBA